Nipepee - Ganun Version (official video)

preview_player
Показать описание
Ganun Perfomed by Dbase Ganun Video Visuals By Ludaah

Follow Mbosso On:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu mwamba ametisha sana..sijui nani anaitwa

mawazoaliselemani
Автор

Kama unamkubali mbosso ni voice of Africa nipe like

tylor
Автор

Duu jamaa kaua ...n noma sana aisee fundi huyo

sandejohn
Автор

Hata sijui niseme nn ela kusema walohusika na huu wimbo watu wote

Gangalamu
Автор

Huyu jamaa anajua kutumia chombo yaani mi naona bora WCB wamuchukue kama unakubaliana na mimi gonga like hapo chini

kennyboy
Автор

Kama mbosso asingehama kwenye aina hii ya mziki angefika mbali sana, sema WCB ni waharibifu wa vipaji.

mawazoaliselemani
Автор

Waw. This is the best cover, it's amazing, much more love from Kenya

enockkirui
Автор

Nimemuona huyu jamaa akipiga kifaa hiki cha music leo live! This guy his super talented!

blancoskitchen
Автор

Wallah ameutendea haki huu wimbo. yaan hii kipaji sio ya kuiacha hovyovyo . mbele wakimuona huyu ni hazina kubwa sana. I love it

ahmadnassor
Автор

+254 hoyee....Kama uko hapa na mimi gonga like tuwakilishe Kenya....Nooomareeee...
Questo è fantastico. Un utile strumento. Wish Diamond potrebbe vederlo!

Joramkatana
Автор

Impressive...
The guy is definitely a master of that instrument
Hongera kaka

shimbamuruthi
Автор

Mmh!!! Huyu jamaa ni nomaaa nimemkubali duh!! Yaani kama vile afanyi kitu vile kumbe ndo duh!!

ayoubmngarishaji
Автор

Oyaa DBase umenigusa Broo.. Very talented guy.. Respect from Mombasa

brianthoya
Автор

duuuh!!!!mambo ya pemba haya, kama umeona chafu pozy weka like hapa

PhylNation
Автор

Yes sasa kw wenye kujua mzik hiyo ndio asil yet na ndio tulikotokea nan anabisha asili ya bongo flever imetokana na music wa pwani mwenye kubisha aje na comment.

ahmeidyoung
Автор

Hyo ndo mhindi wa kusini😂😂😂piga kazi mkuu maana kibiti hakuna mahindi kuna tetere tu polini kma umenielewa like twende sawa😂😂😂😉

fikirirevocatus
Автор

Very talented this man Ganun sio kitu cha mchezo...

pabliz_
Автор

ameweka miguu kwa maji asilale😂😂, ..jambo jema..maana hii nyimbo ina noga unaeza lala..buh...nyc one bro

ludovickroman
Автор

Wooow hakiyanani minaeza sikiliza usiku kucha bila bugdha

theblessedone
Автор

I thought i was a jazz addict but this is way better than jazz. This brother is fantastic and so talented. What is his name. What is the name of that instrument. I am from Ghana 🇬🇭 and i love Tanzanians. You guys should teach me kiswahili

simpeone