Utasimama Tena😔😔_(Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Hakuna aliyezaliwa akapata jaribu hata kufa kwake, jaribu huja, huishi kwa muda kisha hutoweka, katika gumu lolote upitialo fahamu kuwa muda waja lazima UTASIMAMA, wala usisikilize nani anasema nini kwa dhumuni gani, bali songa mbele USIMTENDE MUNGU DHAMBI NA UVUMILIE,,,,UTASIMAMA🎶
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bwana akupeleke viwango vingine Mtumishi wa Mungu😘😘😘

isakamrimba
Автор

Jehovah akupandishe viwango hadi viwango!!!!kibari kikawe juu yako!.

gracegmngete
Автор

Mungu akupandishe viwango vingine best

agnesmwenda
Автор

Hongera sana mdg wangu nyimbo nzuri sana

lazarochristopher
Автор

Mungu aendelee kukuinua zaidi kaka angu kipenzi kweli tutashuhudia matendo ya Bwana.Am so proud for you my ❤❤💕bro stay blessed😍😍

leonardinasostenes
Автор

Amina kiseo ubarikiwe Sana mtumishi wa Bwana injili iende mbele

yohanachogavano
Автор

Hongera sana mdg any Kiseo....barikiwa sana.

fedinamnyika
Автор

Hongera sana mdogo wangu, Mungu azidi kukuinua kwa viwango vingine, fly higher my lovely young bro

mwangetwasebastian
Автор

Nilikuwa nimelala lkn nimejikuta nimesimama ghafula..ahimidiwe bwana❤💪💪kazi nzuri Mr✔✔🙏

renavisiontv
Автор

Juhud na bidii zaid kk ndyo msingi wa mafanikio.

Kaz nzur

pascaltayari
Автор

Zabur ya 23 ikuongoze ktk kazi yako na kila jambo kaka

gonsalvakidenya
Автор

The best hit Kaka, may the Lord expand your territories... 🙌🙌💪

levinathomas