Christina Shusho - Roho (Official Video) SMS [Skiza 5962596] to 811

preview_player
Показать описание
#ChristinaShusho #Gospel
Tanzanian Gospel
SMS VCT 5742266 To 15577 Vodacom Tz
(C) Relax Investment

Christina Shusho Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Christina Shusho

Follow Christina Shusho on:

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Roho kaa ndani yangu nikiwa nawe niko salama 😇😇

winniegodfrey
Автор

Sasa huyu ndo shusho wa zamani! Nabarikiwa toka Kenya😍

myshylysh
Автор

kama unampenda ninavyo mpenda ngoga Like yko hapo

sharonagissa
Автор

On my day of trouble i remembered this song. I was more confident roho akiwa nami nitashinda. Barikiwa kwa kutubariki kwa nyimbo nzuri.

dyline
Автор

OMG!!!! I love this song!!!😍😍😍
ICC Nairobi brought me

karensindisoparimwa
Автор

Hallelujah yes Ameen sisi ni washindi zaidi ya washindi nimebarikiwa na huu wimbo. God bless you servant Christina shusho Nice song ameen

maureenmalusha
Автор

Naomba Baba akujalie kibali kwamba hiyo neema idumu kwako. Nyimbo za rohoni kabisa. You don’t expose your mind but the state of your heart and devotion. Be greatly blessed. Helelwa na Abeca.

Lulongha
Автор

Mungu azidi kukuinua japo kuna sehemu huwa unapitiwa kidogo kwenye mavazi

mamaamani
Автор

Eeeh Roho kaa ndani yangu niwe salama Maishani Mwangu

seamansilver
Автор

Ámen Mungu azidi kukuinua katika uduma yako mtumishi

rhodacharles
Автор

hakika nabarikiwa saan jmn fanya kazi ya Mungu, , , kwamaana umabariki saan watu, asante saan

rosesimoni
Автор

Eeeh roho Kaa ndani Nikiwa na wewe niko salama Amen

kalyabegeoffrey
Автор

This is what am talking about!!!! The real CHRISTINA SHUSHO!

AlexJoseck
Автор

wacha roho iwe nami niwe salama, ubarikiwe sana Dada

maureenestozaitun
Автор

Wakati wote ninaposikiya wimbo huu niko najaziwa sana. Aksanti sana Dada...Mungu apewe sifa !

gregoiremulenda
Автор

Shush mungu. Akupe kuishi milele na family yako asant sana kwanyimbo nzuri tutaonana binguni milele paradisho

niyosamuel
Автор

Barikiwa sana dada, Roho Mtakatifu aendelee kukupigania

veronicawoisso
Автор

Vraiment j'en suis sûr avec Dieu tout est possible et je n'ai serai jamais déçu

patrickngongo
Автор

Amina. Roho wa bwana tunaku hitaji maishani mwetu.

mireillekamwanya
Автор

Ninamupenda sana shusho, baweza penda kuimba na wewe siku moja atakama sina sauti nzuri it's my dream . just be with you in one of your album. I love you so much. Ninapenda Sana english but i don't nkow ku i sema

angegendusa