Christina Shusho Feat. The Dreamers - Teta Nao (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
#ChristinaShusho #Gospel

(C) Relax Investment

Christina Shusho Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Christina Shusho

Follow Christina Shusho on:

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wimbo huu umetokana na uhalisia wa Maisha Yangu.
Nafasi ya Mwanamke katika mapambano inahitaji bidii zaidi.
Kila unapo jaribu utakutana na vikwazo vingi yote tu ili usipige hatua mbele.
Kuna mengine niliweza kupigana Nayo lakini kwa Asilimia Kubwa ilibidi Mungu anitetee.
Inawezekana na wewe unapitia kama ya kwangu au zaidi.
Huu wimbo ni ujumbe wako.
Barikiwa unapo tizama video hii.
Zaburi 35:

cshusho
Автор

Psalms 35:1-25
Contend, LORD, with those who contend with me; fight against those who fight against me. Take up shield and armor; arise and come to my aid. Brandish spear and javelin against those who pursue me. Say to me, “I am your salvation.” May those who seek my life be disgraced and put to shame; may those who plot my ruin be turned back in dismay. May they be like chaff before the wind, with the angel of the LORD driving them away; may their path be dark and slippery, with the angel of the LORD pursuing them. Since they hid their net for me without cause and without cause dug a pit for me, may ruin overtake them by surprise— may the net they hid entangle them, may they fall into the pit, to their ruin. AMEN

raphaelmmurithi
Автор

Heavenly Father I pray that you keep the person reading this alive, safe, healthy and financially blessed Amen

sirdonyxsaphire
Автор

It really amazes how Shusho has more Kenyan fans than Tanzania, keep lifting our souls with good music. Kenyans will always be behind you. God bless you

magbenny
Автор

Listen to this song and read Psalm 35 when Fasting... Our God shall never let you be defeated.

allenkidulani
Автор

Wakati mwingi tunapenda kulaumiana kuliko kuombeana, Mungu akushindie K Shusho, Amen.

HappinessKillo-bdox
Автор

This has been my prayer psalm 35, loving loving it!! Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

amazingbeatrice
Автор

Maman nyimbo zako nazipenda sana, niko mshabiki wa nyimbo zako maman, napatikana apa goma

JeanTumainiNsengiyumva
Автор

Wimbo huu ni Zaburi 35 nitetee Ee Bwana kupitia Zaburi hii ameen

sophiajuma
Автор

2023 Kenyans have just gone crazy with shusho welcome home on 31st December ♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Abuuu
Автор

I'm a Muslim but this Mama 🔥❤ mungu akweke insha'Allah

kevinokoth-xiqt
Автор

Eh Bwana utete nao wanao teta nami (Oh Lord, contend with those who contend with me)
Upigane nao, wanao pigana nami (Fight those who fight against me)(Repeat)

Ushike ngao na kinga usimame, unisaidie (Take up your shield and armor, arise and come to my aid)
Vuta we mkuki uwapige, wanaonifuatia (Brandish your spear against those who pursue me)
Uambie nafsi yangu mimi ni wokovu wako (Say to me “I am your salvation”)
Uwatoe mkuki uwapige, oh wanao nifuatia (Brandish your javelin, against those who pursue me)
Uambie nafsi yangu “mimi ni wokovu wako” (Say to me “I am your salvation”))
Wananiuliza mambo nisiyoyajua (They question me on things I know nothing about)

(Refrain)

Waaibishwe wafedheheshwe (May they be disgraced and put to shame)
Warudishwe nyuma, wanaotafuta nafsi yangu (May they be dismayed, those who plot my ruin)
Wafadhaishwe, wawe kama makapi (May they be like chaff before the wind)
Mbele yao pepo malaika wa Bwana waangushe chini (With the angel of the Lord driving them away)

Wananilipa mabaya, badala ya mema (They repay me evil for good)
Kutwa kucha waniwinda ili niteseke (All day long, they hunt me so that I suffer)
Niko ndani yako niweke eh Mungu wangu (I am in you, preserve me, Oh my God)
Ubavuni mwako nikumbatie, Jehova wangu (Embrace me to your side, my Jehovah)
Mkononi mwako niweke, eh Mungu wangu (Hold me in your hands, Oh my God)
Ubavuni mwako nikumbatie, Jehova wangu (Embrace me to your side, my Jehovah)

(Refrain)

Njia yao iwe giza na utelezi (May their path be dark and slippery)
Malaika wa Bwana, akiwafuatia (With the angel of the Lord pursuing them)
Uharibifu uwapate kwa ghafla (May ruin overtake them by surprise)
Wa uharibifu waanguke ndani yake (May they fall into the pit they hid)
Mimi bure wasinisemange, bure wasinibonge (That they may not speak against me in vain)
Na uovu wao aloficha umnase mwenyewe (May the evil they hid, catch them)
Bila sababu amenichimbia shimo nafsi yangu (Since without cause they dug a pit for me, )
Mifupa yangu yote itasema (All my bones will exclaim)
“Bwana ni nani aliye kama wewe?” (“Who is like you, Lord?”)
Na nafsi yangu itamfurahia Bwana (Then my soul will rejoice in the Lord)

Wapendeza, Bwana wapendeza (You are exalted, Lord be exalted)
Eh Bwana wapendeza (Oh Lord, be exalted)
Katika hili najua utatenda (In this I know you will do)
Nitetee Bwana nitetee (Defend me Lord, defend me)
Eh Bwana nitetee (Oh Lord, defend me)
Katika hili najua utatenda (In this, I know you will do) (

cynthiaimali
Автор

I just love how Christina supports talents. No wonder she keeps shining for Jesus. Go go Mama

esthermbitheke
Автор

Mungu ni yeye vita zako atakukupigania

Watch
Автор

God is God of war, he will fight my enamy in Jesus name

faithmoraa
Автор

Eh Bwana nitetee. Teta nao wale wanaoteta na mimi.Pigana nao wale wanaopigana na mimi. Wanafuata nafsi yangu warudishe nyuma.Wasinifahamu kamwe.Nikumbatie na unifiche kwenye ubavu wako. Njia za maadui wangu ziwe za giza na utelezi tele.Nami nakuamini katika hili utatenda. Na ikawe hivyo.Amina.

Meg
Автор

Nafusi yangu mimi ni okovu wangu hawana sababu 🙏🙌🇷🇼

innocentmugabe
Автор

Jamani ukiachana na kubarikiwa na nyimbo za dada christina bas nampenda sana huyu dada

deborapraygod
Автор

Road to 400K subscribers 😍😍Mob love from +254❤️✅..
Teta Nao 😭😭🙌..I was waiting for this 🙏.. Whoever is reading this wacha Bwana akakutetee🙏..
Love you mommy 💖

PeterkenyaOfficial
Автор

Christina is an inspiration in my life. Her song "thamani ya wokovu wangu" led me to Christ. May God continue using her for His glory

ruthpearl