EXCLUSIVE: MUNA LOVE - ' Wanasema Nimemuua Mtoto Wangu Niwe Tajiri, Nimempeleka Wema kwa Mganga'

preview_player
Показать описание
EXCLUSIVE: MUNA LOVE - " Wanasema Nimemuua Mtoto Wangu Niwe Tajiri, Nimempeleka Wema kwa Mganga"

Msanii Muna Love amezungumza na Global TV Nakuweka wazi magumu aliyopitia baada ya kumpoteza mtoto wake mpendwa Patrick ...

UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Muna mdogo wangu nilikupenda nanitazidi kukupena ila kubwaa nitakuombea urudi kwa Yesu.Bila Bwana YESU unapotea.I stil love you young sister.

agnesslyatuu
Автор

Ni haki ya mwanadamu yeyote kujisifu kuhusu Yesu kwa sababu ndio lengo la Mungu wamjue mwanae na wamuabudu yeye, lakini Mungu ameweka misingi yake kupitia neno lake(biblia), mnaposema mmeokoka jitahidini kujua ukristo na misingi yake ili msijekujikuta mnatukana jina la Mungu!! Pia jifunzeni kuchagua model ili kutunza thaman ya wokovu wenu!!

peterkahale
Автор

Kuna Mungu na mungu. ..wako Muna bado hatujajua ni yupi?hata shetani we anaweza kuwa ndugu yako..na ukampenda tu!

rosenyandindi
Автор

Watu wa karibu naomba mumsaidie huyu Dada, hayuko sawa, bongo move msimuache mwenzenu.

happymasatu
Автор

Ukisikia interview ya anti wema Jack zari is very Honest pls trie to be also my dear

faithwambui
Автор

Haka kadada ni kaongo maana hakajiaminigi kujieleza, uongo mwingi na hicho kithethe sasa, Mungu akusaidie tuu wewe Dada, angalau uongee ukweli walau kidogo tuu, halafu waandishi Acheni kumhoji mdada wa watu wakati mna muona hayuko sawa kiakili bado, kila siku unamuuliza swali hili anakujibu lingine😧😧, daah so sad

waukweelinikkon
Автор

Huyu Dada anahitaji maombi sana, Mungu atusaidie sana.

happymasatu
Автор

Ungempenda Mungu usingemkana mama yako alokuzaa

salmaalimusa
Автор

Hyu Dada hamna kabisa yupo yupo to duh hyu lazima awe na matatizo kwakuwa kamkana mama yake na mtoto wake Sasa umeambiwa mungu wako wa kwanza ni mungu aliekuumba na wapili ni wazazi wawili ambae ni baba na mama SASa kama huna mawasiliano Mazur na mama huwezi kuwa na radhi na mungu ivo halafu mtangazaji uko vizur kumuuliza maswali japo anakujibu vingine Anaulizw hivi Ana jibu vile

hadijamagufuli
Автор

Kweli hiki kidada hata kisura chake kinaonyesha kiwakala toka kuzimu

sharifahamisi
Автор

Cha umbea wangu, , himelda,, ñakuelewa sana Kwa interview zako

godfreynyansira
Автор

Aisee huyu dada kavulugwa anahojiwa hv anajibu vile yaana simuelewag na mbona anakua mbaya loooh Michael Jackson kaka akeee lòooh

fatumamkupasy
Автор

Muna uko na shida ndani yako, Tena shida kubwa, Bora tuu uliniblock mapema, Mana unaboa, kwel hakunA mkamilifu lakin ww unapotosha watu, watu wanashindwa kumjua Mungu wa kwel kwa sababu yako Muna

Nezia_Simulizi
Автор

Umeyanena Dada, Mwenyezi Mungu Azidi kuku inua, Twakupenda, Hata Mwibaji Maaruf wa Nyimbo za Taarab Nchini Tz'd aliyaimba, Sibagui Si Chagui Atakae Nizika Sijui👍👍👍😘

carolmuchiri
Автор

Hayuko sawa anahitaji msaada wa kisaikologia, muna nenda umuombe mamako msamaha.

aminanamoyo
Автор

Tatizo madhehebu yamekuwa mengi kila m2 anafungua kanisa na kusema la walokole ndo shida sio kwamba hakuna ulokole ndani hapana ila wanashindwa kuwahimiza washirika wao wavae uhusika wa ulokole kwa kuogopa kuwapoteza ndio maana wanaacha watu wafanye wanachojiskia ila kiuhalisia ndani ya ulokole huyu hamna kitu kabisa anatudhalilisha na anamdhalilisha kristo kwa kulitaja jina lake pasipokuwa na uhalisia Mungu akutetee na awatetee viongoz wetu wadini wafanye kazi yao ipasavyo kuhakikisha watu wanakuwa kwenye mstari na sio kuharibu imani kwa kuhofia kupoteza washirika Mungu anasema palipo kusanyika wawili au watatu nitakuwa katikat yao tusiogope hata kama kanisa likibaki na watu kumi ilimradi umejithidi kuwaelekeza yale Mungu anafurahia hakika Mungu ataonekana

giftmbogela
Автор

No body is perfect only God can Judge us She has crazy things in her on life but what I know she has a pure heart ❤️

sophiasimule
Автор

Umekana familia yako nakujipachika umarekani loooh Mungu akusamehe dada ukisema wampenda Mungu lkn ukamchukia ndguyo kweli haimo moyoni mwako

salmaalimusa
Автор

Mahana ya interview munalove ni kufuguka Kama utaki kujibu unacho uliswa akuna aja ya kufanya interview basi

faithwambui
Автор

Mm ni mkristo lakini Mungu wa muna sijamuelewa Dada kaa ujifunze kwa watumishi wa kweli wakwambie vitu vingi unavyoviongea hapo ni kama unauzalilisha ukristo haupo hivyo kabisaa wewe ni mpotoshaji

sekelalainah