EXCLUSIVE: Mama MUNA Amwaga Machozi Polisi MUNA Amshitaki

preview_player
Показать описание
Duh! Hawa Jamaa Hawana Mpinzani Tanzania, Click Link ujionee!
EXCLUSIVE: Mama MUNA Amwaga Machozi Polisi MUNA Amshitaki

Katika Hali isiyo ya kawaida, Muigizaji maarufu Bongo ambaye kwa sasa ameokoka, Muna Love, anadaiwa kumshtaki mama yake mzazi huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

hakunaga kama mama kama unampenda mama ako like

mwajumafundi
Автор

Muna pepo ya kwanza ipo chini ya nyayo za mama muna utalaanika leo mbaka kesho kiamani mamaako kabisa analia jiulize wangapi mbaka leo wanalia kwa kuondokewa na mama

CrolaCrola
Автор

Yn we muna unamkana mm ako wakat mm natamn hata ningepata hata mm wa hiyali jmn

jackrinaman
Автор

Muna in from Kenya, let me tell you , you will regret it one day

florencedieto
Автор

Mungu uonae sirini tunakuomba tuangazie hili jambo. Mbona hivi jamani

christinasangu
Автор

Muna mungu atakuonesha zaidi ya hapo haoo walokore awatokusaidia chochote atawakuombee vipi ilo pepoo alito toka nautapata lana tuuu

AliBaba-zbtg
Автор

Muna bado anaishi na mama bado anaishi mlango wa neema upo wazi wakusanyike Kama family na wachungaji wawapatanishe Hali hii ilishawahi kuikumba my family kikao kilianza hasubuhi mpaka saa tatu usiku walikuja wachungaji vilio vilitanda nyumbani so painful to say mama aliomba msamaha watoto japo watanzania wanaona Eti ni mwiko kumuomba msamaha mtoto Jamani family zinaumizana ndugu kupatana ni slaa. msitukane hekima itafutwe.

cindymacho
Автор

Muna kafaa vizuri sana inawaomba discipline ata kama mama

douceurgracia
Автор

Ww muna mama anatoka machoz kwaajili yako iyo nilaana dadangu mludie mungu vizuri umebughi Sana muombe mama msamaha alibeba mimba miez9 akakuzaa ww akakulea jaman Leo hii unasema amekuwa duu

kyusakyusa
Автор

Ndomana MUNGU akakuima laha mujingawe. Naweye utafisha paka hutakukuwa nafuraha maisha yako yote kumukana mm yako

aminiingabire
Автор

Chozi la mama litamtesa milele mama ni mungu wa pili jana mama pole sana

rukiajilo
Автор

muna wa mitandaon mwenye kutaka sifa huku mama mzazi ana mwaga chozi duuuu hongera zako mdada

nadyakisho
Автор

My mum is my true hero...long live mum

godsproperty
Автор

People love your Mother, cause when she is gone words can't explain how you will fill. Not being able to talk to her, no more hugs, you never hear her call your name again. Treat her like the Queen she is.

elizabethmuigai
Автор

shetani mbaya adui mpiga vita mabinti na mama zao akisimama juu ya kichwa Cha binti yako utaomba aridhi ipasuke Hali hii ni mbaya mno wanaoelewa vita hii wa rohooni watu wenye misuli ya Imani.

cindymacho
Автор

nakumbuka Hiyo siku hakuna hata hamu ya chakula watu hawakula zaidi ya Maji tuu watu walikuwa Kama wamefunga kila mtu akijieleza namna alivyoumizwa . so ninaona jinsi mama anavyoumia pole mama yataisha tuu.

cindymacho
Автор

Nimekuta nalia sana mamaangu nimfanyie hivo wapo wanao tamani kumuona mama Muna ulaniwe na vizazi vyako vyote ww ni mwanamke leba umeenda kulea umelea unajua jinsi gani mama anateseka daa

subiransasi
Автор

Munalove unakosea sana tena sana kumua mama yako mzazi angali yuko hai, haipaswi kumkana mzazi, hata kama kakukosea kiasi gani, mzazi ni mzazi tu.usiendekeze anasa za dunia kiasi hicho mpaka zikakupumbaza na kukufanya usahau kuwa wewe hukuweza kuwa muna love bila mama yako kukuleta kwenye hii dunia.

nikitadiamorelivingstone
Автор

Mungu wangu, wee muna shetani mzima !!!

Jospinkethiajoskey
Автор

Sasa hapo mnatusaidia nini mnakaa kuongeaongea bila chanzo cha habari mnatumalizia mb zetu 😕😕😕😕😕😕

margarethsolomon