Wamarekani hawa wataweza kutamka 'Watapata tabu sana?' Vunja mbavu zako

preview_player
Показать описание
#SwahiliAmericanChallenge imetua huko Oceanside, California, Marekani
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hakuna datizo and Hakuna matara yeeey.

bosschick
Автор

aaaah...raha sana, uwiiii....jamani kweli kila mtu na lugha yake..

aminatundondege
Автор

Iove you asante simulizinzsauti njoo zanzib

jumaaliy
Автор

😄😄😄😄😄😄
Watatata tanu sana

Nniania imba koko😂😂😂😂

unclepwechnov
Автор

😂😂😂😂😂😂😂😂hapa naona watu wakimeza ulimi

miriammasulia
Автор

Wewe jifanye unatafuta wanajua kiswahili utakuja kukutana na mzungu mbongo

gadsonndato
Автор

Watatala Sabu Sana ha ha ha penda sana

lazarodulle
Автор

Watapata tabu sana kipigo chake ni zaidi ya mbwa koko🤣🤣🤣

williamsville
Автор

Tisha sana sns, hii ndo ubunifu tunaoutaka

ericjonstz
Автор

Wazungu wanavichwa vibovu haya neno hilo masaa 4 hajajua tu

dula
Автор

Oyaaaa jomba wewe ni mwalim hata kama hujapita chuo Chao kula tano

lazarodulle
Автор

Loliloli ni kama tunavo pata tabu kujifuza lugha zao hahaha😀😀😀😀

evelinaluvata
Автор

Nye sns tumewawekea mtego tunawasubiri siku mnase ndo mtatueleza.simba katoa video now inakaribia 3h but hamjatoa taarifa yyote sawa siwezi kuwabishia Hilo cause ni maamuzi yenu Ila tatizo linakua hapa wasanii wengine wakitoa ngoma zao after 4mins tayari mmeshazibebea mabango juu juu.pia mkisikia nasibu kachambwa na mange kuhusu Uber hapo fasta mnaipandisha hewani nyie bwana 🤒🤒🤒

visiteastafrica
Автор

Oya muanangu mike weka nbali kidogo itapendeza zaidi

VC-oocj