Masaibu ya wasichana Matungulu - Machakos

preview_player
Показать описание
Mimba na ndoa za mapema pamoja na ajira kwa watoto wasichana katika eneo la Kyanzabe wilaya ya Matungulu kaunti ya Machakos, ndizo chanzo cha kukatizwa kwa masomo ya mtoto msichana wa eneo hilo. Aidha densi za kitamaduni ambazo hufanywa wakati wa mazishi zinazofahamika kwa jina kamandeku pia zimechangia katika hali hii. Diana Kendi alipata fursa ya kuzungumza na familia moja ambapo msichana wao alipata mimba akiwa katika darasa la nane na hivyo kukatiza masomo yake.
Рекомендации по теме