Msumeno wa Sheria: Ufukuzi wa maiti

preview_player
Показать описание
Japo kumeripotiwa visa kadhaa vya ufukuzi wa maiti, hilo ni suala tata ambalo hutokea kwa nadra katika jamii za kiafrika. katika mila nyingi barani afrika marehemu akishalazwa huwa ni kama laana kumsumbua wakati anapopumzika.Hata hivyo, kuna nyakati ambapo sheria huruhusu ufukuzi wa maiti hata iwapo ni kinyume cha mila za jamii husika. Je, ni nyakati zipi ambapo sheria huidhinisha ufukuzi wa kaburi la mwendazake? Ni nani mwenye mamlaka ya kutoa uamuzi na kuidhinisha ufukuzi kama huo? Ripota wetu daniel mule alifanya mahojiano na wakili charles kanjama, na kutuandalia mengi kuhusu suala hilo kwenye makala ya Msumeno wa Sheria.
Рекомендации по теме