#EXCLUSIVE: PATRICK KUBUYA, ASIMULIA WIMBO WA MOYO WANGU ULIVYOBADILISHA MAISHA YAKE..

preview_player
Показать описание
#EXCLUSIVE: PATRICK KUBUYA, ASIMULIA WIMBO WA MOYO WANGU ULIVYOBADILISHA MAISHA YAKE..

MWANAMUZIKI wa Nyimbo za Injili, Patrick Kubuya, amefanya mahojiano na Global Tv Online na kueleza namna wimbo wake wa 'Moyo Wangu' ulivyompa mafanikio makubwa na kubadili maisha yake.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Patrick thanks so much indeed that song moyo wangu it's like a stepping stone into my life I can't keep listening to it Mungu azidi kubariki 4 the rest of ur life.

christinemaina
Автор

When moyo wangu came out, it came along haufananishi na yuko Mungu mbinguni asikiyaye maombi, it was great worship all throughout....I remember I was somewhere stack, just waiting for my papers to travel, hizi nyimbo tatu zilinibeba kweli...ashukuriwe na kuinuliwa Mungu wa mbinguni. More Gracw brother Patrick..play list yangu iko na nyimbo zako zote..am blessed 🙌 😇 🙏

reenmakamu
Автор

more blessings from kenya...God is using u in a mighty way

miamo
Автор

Mungu akubariki Patrick. I have never heard of another gospel singer talking as you are. The relationship with your Maker, your God is worth admiring. Mungu akukumbuke sana

carolineomori
Автор

Your songs are a blessing Patrick kubuya🙌🏾

periswagathiki
Автор

My God this song is right from the thrown room of God. I play this song countless times in a day. It carries God's power in it.

marthaochieng
Автор

Oh my brother Kubuya! I love your testimony! Kwa kweli Yesu mwenyewe alikisha sema, “Nabii haheshimiki nchini kwake”.

Soccereditzz
Автор

Mungu akubariki sana, nyimbo iyi imenigusa sana, ata na hushuhuda ume nigusa kabisa, nimebarikiwa my God continue to bless you my brother.

clairelwamba
Автор

Your song heal my soul the time i was in difficult time, it's a blessing

eunicemueni
Автор

Dah ndugu yangu wimbo wa moyo wangu unanifariji sana kulingana na magumu ninayopitia kila mara nimekuwa nikiusikiliza unanibariki mno na kunifariji. Mungu akutie nguvu na akuongoze katika safari yako ya kumsifu kwa nyimbo. Ubarikiwe sana kaka.

rosenaadolfu
Автор

Moyo wangu ni wimbo ulio nifariji saana wiki hizi mbili kwa sababu baba yangu ametangulia mbele za haki wiki iliyopita, mama pia mwaka jana, ndipo nilpopata kujua nyimbo za Patric Kubuya. Ukweli ni kwamba nimekuwa nikitafuta nyimbo zenye mguso wa Mungu kwa kipindi kirefu. Lakini Mungu amenionyesha hizi kwa mara ya kwanza. Barikiwa sana Patrick Kubuya

rayman
Автор

Patric you're blessed and your song has blessed many God guide you and give you strength

milkahmadege
Автор

kindly sing with tat girl again her vocal is good

jamesmaina
Автор

Your songs always inspire me may God continue 7sing you to spread the word

patriciaanyango
Автор

Your songs always blesses me Patrick may God continue using you for His glory....more love from kenya

christinekatana
Автор

Nabarikiwa Sana na huu wimbo Kuna hard situation Nimepitia huu wimbo kaka ulivusha sehem na mpaka nau ni wimbo nimeuweka kwenye phone call yangu barikiwa sana kaka

esteralan
Автор

wow! i love the songs of really blesses my soul

henrymatindi
Автор

Barikiweni maradufu watu wa Mungu🙏🙏🙏❤️

elizabethsakina
Автор

May God give you more Grace M.O.G

Gladys.Ngila
Автор

Specific directions and general God's directions....

elkanakilumbe