filmov
tv
Hotuba ya Rais Samia hafla kilele Tamasha la Utamaduni, Utalii Kizimkazi Zanzibar.
Показать описание
RAIS SAMIA NA UMAHIRI WA KUOGELEA: “Sisi tunaogelea” sehemu ya maneno ya Rais Samia Suluhu Hassan akielezea umahiri wake kwenye kuogelea huku ‘akimtania’ Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alisema hajui kuogelea japo Lindi kuna bahari.
Ni katika hafla ya kilele cha Tamasha la Utamaduni na Utalii lililofanyika Kizimkazi Zanzibar.
Rais Samia asema amewatafuta wadau wawili kusaidia Simba na Yanga. Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, MwanaFA achana mbele ya Rais.
#RaisSamia