🔴#LIVE HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA KATIKA HAFLA YA UTIAJI SAINI MRADI WA SGR AWAMU YA 3

preview_player
Показать описание
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia Hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Awamu ya Tatu kipande cha Makutupora hadi Tabora leo tarehe 28 Desemba, 2021 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

#SGR #MamaSamia #UFR #Tanzania
Рекомендации по теме