Tanasha X Diamond Platnumz - Gere LIVE PERFORMANCE

preview_player
Показать описание
Tanasha X Diamond Platnumz - Gere (Official Music Video) LIVE PERFORMANCE

PRESENTER ALI: Channel maalumu ya Burudani na EXCLUSIVE interview kutoka kwa mastaa Hakikisha unaSubscribe .
SHUKRAN Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.




KWA MATANGAZO

PIGA : +254704589139
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

kama umeipenda performance ya tanasha gonga like hapa twende sawa

PresenterAli
Автор

Really Simba ni mnyama hatari bonge langoma nice cooperation na mama watoto kip it up utafanikiwa tanasha 😍😘😘🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿

ravycan
Автор

Tanasha uko juu dadangu Likes from 254 zishuke pliiz

emillynyamawi
Автор

Eric omondi giving a sister moral support. That's why I love Kenya

twoten
Автор

Kma upenda performance ya tanasha mpe 1k likes

davieprince
Автор

Anaye chukia Tanascha ni Mchawi!!! Shidwa tena sana. Big up lotsa love from Muscat.

malaika
Автор

Wale wa 254 twende Sawa hapa na likes kama zote

AnchorTvUpdates
Автор

Pole pole ndio mwendo tanasha nakupenda bure mkenya mwenzangu utaweza zaid inshaallah

nadzuawato
Автор

Big up Tanasha wakenya let's support our own let's not discourage her like Tanzanians tuwache makasiriko

carolbiwott
Автор

C kwa upuzi huu Tanasha, jiheshimu kaa first lady wa chibudi, Zari ze boss

frauleinbergerjaneaika
Автор

Hongera sana diamnd kwakuwapa wanawake majina ya kuwa wakubwa tu maashalah.maana na huyu sasa hivi atavuma sana sana. Kabla yako alikua hasikiki ndio maana wanataka wazae na wewe ili uwapr majina tu..Unafanya kazi ya kuwainua wasanii wanaume na wanawake kwa njia ya kimapenzi .ukimuacha anafaidika

anjunurdin
Автор

Good start mama yao wanaona gere na ni wewe tu ...I wish you the best for all you do

carennasiche
Автор

Safari ya mbali huanza na hatua moja tu. Thanks Tanasha tutafikatu

redibatafulai
Автор

Tanasha donna umetisha kinoma madam Diamond

ayshakhamis
Автор

Mama Lao nouma geeere, , , watapata tabu sanaaaa👌👌👌

alimashaban
Автор

Mina ku penda tanasha vile uko wanao ku chukia ni wenye uwiv.
I love you my dear darling

janoatieno
Автор

Walio hona kama tanasha ajui ku cheza gonga like 😂😂

happysalva
Автор

can't wait to hear the song angusha ngoma

makaveli.kviews.
Автор

Waoo utazani ni Bresil endelea una kipaji

leoncenondo
Автор

Nautamani sana wimbo huu, dia ft tanadona mko juu

suleymandachi