Love and pain Episode 6 final

preview_player
Показать описание
#kimvevo #clamvevo #love #series
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Binafsi ipo sahihi sana na imefundisha meng sana na nimeipenda kupta maelezo. Ninyi ambao hamjaelewa hamtakuja kuelewa milele

EmmanuelKimmodar-blrx
Автор

Kazi zuri kabisa musikawe kutocha nainpenda sana usisheleweshe 🎉🎉🎉

LebonAlliance
Автор

unajitaidi sana sana kikubwa uwe unabolesha kila penye makosa najua hata hii ujamaliza vizuli lakin ijayo ndo uongeze juhudi ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

franktodory
Автор

Pumbavu eti mwisho. Mwisho kivipi yaaan mbona elimu ya hiyo serees Bado hatujapata kwamba inafundisha nini😊😊

edsonrainaldndunguru
Автор

Hapo mwisho mjomba kauwa eti mchumba wangu Kim halafu akacheka😂😂😂😂

kitwangu
Автор

Nin ik jmn mwisho mbn harusi haipo jmn sha andaa kijora kusubir ubwabwa mie ume tukata mmy

Asyadaud-uhlj
Автор

Mbona mapema km lkn sawa sijapenda kweli😢😢😢

ZZawadi-sv
Автор

Bona umeirudia hii jmn alafu ndio ya mwisho

PingaBombwe
Автор

Mwisho? Mwisho vip mbn sjaelewa kim unafeli yaani imefika patam ndk inaisha binasf sjaona kama imeisha

josephinajoachim
Автор

Sijapentaaa😂😂, , , ilitakiwa aliomtoa mwenzie mimbaa angejutiaa kw kile alchokifanyaaa na kuomba msamaha, , , n.k ila kw mwisho huu hpn 😢😢

NajimaShabani
Автор

Nilikuà nasubr wedding kumbe nd mwisho

Nurubeb
Автор

Ilianza vizuri ila ikaisha vibaya but tumeinjoy😊😊

fatumaramadhan
Автор

Paater amehukumika sana, , ati mchumba wangu😅😅

FranciscaManga-jc
Автор

Kipande chakim amekimaliza vizur ila kwadang duu

MunezeroShadia
Автор

Bx to sizini 2 ata kwa vipande kwzaa ili tupate mwisho mzuli zaidi 🎉🎉🎉❤

ZaiLilanje
Автор

acha nikupongeze kwakuwa bado unajitafuta ongeza bidii

XavyFdon-lirc
Автор

Duh hongeleni sana lakini imesha vibaya sana

BadmanElisha-tx
Автор

Mbona kama kunamwendelezo lkn mnasema mwisho, picha nzr lkn mwisho hauelek au Kuna season ya 2 jamaniii

frolamushilim
Автор

Kim hpo kwa mwisho hapana, , , hatujapenda

DelvinChepkorir-td
Автор

Nzuri Ila mwisho aujaisha vizur jamani

khadijachama