Lava Lava - Tajiri (Official Music Audio)

preview_player
Показать описание
Stream & Download Tajiri 👇🏼]

Follow Lava Lava On:

#wasafi #lavalava #music
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Afadhali Nimesikia sauti it's such amazing voice and I'm so happy for him kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪twakupenda Sana, , , , jamani naomba likes hata moja ili niongeze furaha zaidi

carolineotieno
Автор

Lavalava hili jina TAJIRI lakufaa ww AKA yako

maryamabdalla
Автор

Nyimbo mbaya Sanaa unafeli wapi ww nakukaa kwako muda wote walau ungetoa sampo yakama gundu

kakonko
Автор

Toa vipianoo vyotee vya bongoo hii ni namba1

Shivokomedy
Автор

Toka congo uvira. Nice mélodie kweli

Thedondelugalanda
Автор

Amapiano bado zina kera wcb kweli kila msaani

christopherrimba
Автор

Bro umeuwa sana goma la mwaka ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️Ngoma ya dunia hii

SayuMosses
Автор

Jamani nilikuwa namiss kusikiliza hii Sauti ya Lava

Zadig_Le_Juste
Автор

Lavalava is more than we think much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

magdalinekarimi
Автор

Misss you so much broo ❤❤❤😊😊😊 kama umemiss lavalava like hapa

Da_Silver
Автор

Wow karibu tena Nilimic kusikia nyimbo yako 🥰🥰

glorytarimo
Автор

Asante lav byte umerejea tupe vitu ssa nakukubali sana mwanangu 💪🔥

mitikiso
Автор

aise asante sn tume miss ngoma zako my broh 🙌🙌

ColetteAyubu-mu
Автор

Unajua nin maana ya sanaa ya muzik safi sana mr. lovebite

emanuelnyabuke
Автор

Kalibu blooo kwenye gemu tulikua tunakusubili

MWANDOLA
Автор

Wa kwanza leo...
Nipewe likes zangy 😊

EPL_prediction
Автор

Umetisha lava lava unatuakilisha vyema wakazi wa bunju kak good boy🫂

zedyboycomed
Автор

Goma Lamwaka Ili Kaka Welcome back again

jamesblackjaguar
Автор

Afadhaali tumekusikia tena....Tulikaaa kinyonge sana lovebite huna adui lovebite🔥🔥🔥

MusaJafari-md
Автор

Tajiri nataka kuzagamua utalipa bwana ✌️

official_wadex