Chino Kidd Ft Daway - Binadamu (Official Lyrics Video)

preview_player
Показать описание
Chino Kidd Featuring Daway Perfomancing - {Binadamu} Official Music Video . Producer by Sky, (C) 2024 exclusively licensed Under (Waaman Gang). The Music Video was shot at Dar es salaam, Tanzania Directed by Dalllas enock

Connect Digital Technician : Michael Charles Chali

Connect with Chino Kidd on Social Media :

Listen to Chino Kidd on Digital Platform :

+For More Information Booking Chino :
Contact : +255712562397

#Chinokidd #Binadamu

©2024 Chino Kidd All rights reserved.
Music in this video
Learn more
Song
Binadam
Artist
Chino Kidd
Licensed to YouTube
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

nimesikiliza nyimbo hii nime repet zaid chino kid unakitu kipo ndani yako anza kukitumia sasa mashabiki zako tunazidi kukuombea kila siku You HAVE GOD VOICE CHINO KID🙏🙏🙏🙏👌👌👌👌

zumainc
Автор

Chino anajua Sana kama unakubaliana na Mimi dondosha Like yako hapo chini

Bitika-wocg
Автор

Huyu DAWAY aangaliwe kwa jicho la 3, anajua sana 🔥🔥

johnsonchonja
Автор

Ngoma Kali sana umeua mwana, sema Nini ungetoa video inayobeba uhalisia wa maisha ambao unaendana na nyimbo ungeua sana

ThomasMayala-bgow
Автор

Hapa sasa ndo nimeamin kama chinno kidd unakupajii❤❤ zaman nilikuwa naona kama janja janja flan hiv za beat za mapiano😊

stephanofyulla
Автор

Chino sikupingii mr kwa hlii mwenyew nakukubalii zidi kupasua miambaaa😢😢

rechoemmanuel
Автор

Kumbe Chino NI fundi kila kona wameishaaa

gazzomaster
Автор

Asante kwa wimbo wenye hisia kubwa kwenye maisha na marafik zetu

MohamedJumbe-xnsx
Автор

Kama wewe unaamini watu wabaya ndo wanaturudisha nyuma comment nyingi kwa mwamba Ila like nyingi Sana kwake tuwaombee Dua waache roho mbaya binadamu tusupoortiane wote tufanikiwe pita kwangu pia unisupport pia Kama unaamin ipo siku nitakuwa star Kama Chino na wewe Kama unaamini iko siku utawashinda wenye roho mbaya show love uwezavyo kwa ma hustlers sema 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

oshaimuafrica
Автор

Bro naamini sasa kuwa unakipaji big up sana umenigusa huu wimbo 🙏🙏😭😭

stevenckanumba
Автор

Aweee big up bro..salute chino achia ngoma iyooo...team chino gusa likes..for new song from our lovely brother chino£¥#💥💥🤞

Ostica..Omie..junior
Автор

Chino umetisha 🔥💯 kaka 😱 Ngoma Kali sana

platbmanu
Автор

Oya chno wana man ameuwa hiii ngoma yan huwezii aminii ameyagusa maisha yng yote hongera sn boy

RashidyAlly-lyfv
Автор

SAFI SANA respect bro naku follow na like kazi yako haina uchafu so simama bro😊😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

fatmaseleman-zf
Автор

From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 chino good work my brother, I see future is bright 🎉

ojaystephen
Автор

Good Music... Kudos kwenu
Mziki wa hisia sana.

lelomellowtz
Автор

Chino honge bro namauwa yako hayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

Yohanalubinza-tr
Автор

NOMA SANA, hii bro ni ya moto kuna muda inafaa kushukuru tu kila kinachotokea ni hatua pia.

jackdemonicah
Автор

Jmn hv m siqakwanzaa kama umeelewa hii ngoma like chap P1 chino🔥🔥

MateiPs-krtg
Автор

Chino na kuku bali sana ngoma mnzuri mungu akusima mie

RahimuKichukwe