Loui V x Chino Kidd Mkimuona Official Video

preview_player
Показать описание
Listen to my single “Mkimuona” ft @chinokidd. Out Now!

LYRICS:
Je m’appelle Loui
Am looking for somebody
Fire burning Uwii am looking for my baby
 
Nishauliza kwa majirani, yuko wapi huyu
Nadunduliza nimuweke ndani yuko wapi huyu
 
Girl your body oh your body fire
Come follow me, oh no go retire
Sioni sisikii ohh your body body fire
Come follow me oh no go retire
 
Mkimuona my baby mniambie
Mkimuona my baby mniambie
Mkimuona my baby mniambie
Mkimuona my baby mniambie
 
 
Weh my corazon
My corazon come to me baby
Something to tell,
basi ncheki kwa phone ntapokea baby
Na mis sura yako hasa cheko lako
Jinsi ulivyo cutie
Wambie wazazi wako
Nishakua wako
Ntakata hata tiketi
 
Hata ikiwa kwa majini
Au juu ardhini
Acha wafitini, eti chino wanini
 
Maana moja haikai, mbili haifai
Oh my god
Nikupeleke Mumbai, shoping dubai,
Usinione me sifai
 
Girl your body oh your boday fire
Come follow me, oh no go retire
Sioni sisikii ohh your body body fire
Come follow me oh no go retire
 
Mkimuona my baby mniambie
Mkimuona my baby mniambie
Mkimuona my baby mniambie
Mkimuona my baby mniambie

CREDITS:
Written by: Louis Vincent Mbullu & Isaya Michael Mtambo
Produced by: Foxx Beats
Mixed by: Daxo
Mastered by: Daxo

#ItsLouiAgain #Mkimuona #Tamarientertainment #tanzania

Official Audio by Loui V - “Mkimuona” ©️ 2024 Tamari Entertainment
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongereni sana wote mliohusika kwenye huu Wimbo, Its a very nice song. TZ deserves more like this. MKIMUONA LOUI MWAMBIENI THIS BANGER IS INTERNATIONAL.

MikidadiKipolelo
Автор

Loui flows like a Nigerian singer so talented 🎉🎉

josephgayo
Автор

❤❤mume wangu analudia mpaka nasema inatosha ngoma kali International voice 😊

NEEMAWilliam-posx
Автор

HII NYIMBO HAIPATI HESHIMA YAKE, NI NYMBO KALI KILA WEEK LAZIMA NIISKILIZE

richie_Jk
Автор

This is what we call International music, Loui is one of the Best musicians to happen in Tanzania but most people don't consider him. His Melody is very International and penetrates every Person's ear. He is the Talent❤❤❤🎉🎉🎉

TheCane
Автор

Tanzania kuna wasanii wa kutazamwa sana kama loui ni msanii mkalisana king🤴 mzk 🇹🇿 namuona mbari sana mimi ni msanii ila loui mimi ni shabiki yake kweli kweli 🎉🎉🎉🎉

dailantz
Автор

Walioona chino amepita na pigo za mavoko like hapa

vickmalota
Автор

Kama una amini verse ya Chino Kuna mkono wa Mavoko unehusika acha like hapo

dullahabuu
Автор

Unyama wa hawa vijana Sio wa bongo ❤❤ views 100k hawatoshi

majalaworldwide
Автор

I will never get tired of streaming this song till it surpasses 1M views here....I mean Loui brought and international vibe 🔥 and Chinno delivered...a Kenyan though😁

valencemariita
Автор

Kali sana hii game kuna watoto wanaimba sana mpaka wakubwa wanakunja❤❤❤

allymwilu
Автор

Goma kaliii sana..
Diamond angemsign Loui V ingependeza zaidi.
Louii ni noma sana

Tanganyika-wp
Автор

Loui unasauti nzur Sana mzee very talented, ngoma kali

Storyzaibrahim
Автор

Loui fundiii 🔥🔥🔥🔥🔥 tunaomba audio yake pekeee, hii haifai kwa redio inavyoanza kama muvi

zayb_tz
Автор

Mungu akufungulie milango LOUI kurudi kwako usikae kimya my favorite artist AFROBONGO to the world ✊✊

lilsmo
Автор

Huyu Jamaa Yuko Very Underrated...Mchiz N So Talented 🙌🙌🙌🔥

hezronhaule
Автор

Let the mainstream guys know you're one of the best kaza mwanangu loui we mkali🎉🎉🔥🔥

NgasaMaduhu
Автор

Mufasa Mufasa Mufasa i called you three times nakuona mbali my brother 🔥🔥

jacksonluvanda
Автор

Ngoma kalii sana, video inaisha vzuri sna😂😂😂😂🎉🎉🎉 damn loui & chino

TariqAziz-sclb
Автор

Hatimaye goma letu limeingia trending 💯💯💯

RantoVevoo
welcome to shbcf.ru