Mwambie mwanao-video

preview_player
Показать описание
A motivational Spoken word by Amos Mwijonge from Unlimited Professional Trainers
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

After 6 years wanayorudia hii nipe like hapa🎉

niyonkoreraanicet
Автор

Kaka we ni motivator sana...mungu akubariki.

asmahanigonza
Автор

Nimeelimika sana hasapale uliposema binada tumeuumbwa namaskoo mawili na mdomo mmoja naskioo mawili

arafatnguku
Автор

Unakipaji kikubwa sanaa teacher, hekima nyingi

herrymardaimallya
Автор

nimebarikiwa na maneno yako ya busara kaka..Mwenyezi Mungu katubariki na kutupatia watu wachache wenye busara kama wewe. usisite kutukumbushaa

nicecraritypaul
Автор

👏👏👏Nimejifunza mengi
Asante Sana
Amos Mwijonge

msifunichibago
Автор

Axante xana kaka
Kwahaya maneno sioni umuhimu wa kwenda shule

nayuburundilievin
Автор

Vijana wa sasa wakisikiliza haya maneno.bas taifa zima litakua zur.lakin .wataumia na kutoyasikiliza .mm yamenibadilisha..hasa kwenye ajila ninutumwa...balikiwa sanaa

estaludoviki
Автор

Ni kweli sio watu wote watakao kupenda

charlesmangera
Автор

Uchungu wa nyanya chungu ndio utamu wake

wycliffeolingo
Автор

Uko vzr sana bro & my teacher.
I like ua work

edwardnkanawa
Автор

Uncle uko vizr kiukwel maneno yko huwa yana fanya nisikate tamaa na kujikuta nina weza kila jambo, jamb hili uncle ni ukomboz kwetu haswa kwangu mm.

mrishorajabu
Автор

Duh...mfano mzuri wa kila mtu hawezi kukupenda upo humu humu....hivi hao waliobonyeza dislike ni nini hasa hawajakipenda any way tuliokubali hii kazi ni wengi mno

chacha-
Автор

big up  bro amos maneno yako ni manzuri sana na elimu nzuri kwa jamii moyo ni huo huo ur a good mentor changing life of many God bless you

fyzog
Автор

Amosi umebalikiwa na mungu nitapaje kuwa na mashauli ya hekima kama ya kwak

EDWINEDWARD-mqil
Автор



Sisi binadam, tuna mwanga na giza ...

Mashairi yenye mafundisho kweli

fikratimamubusaradaima
Автор

Kazi njema, Mwl.keep up educating the society

allmoodtv
Автор

Maongezi ya mawaidha yako yana manufaa chungu mzima. Napenda kila neno unalotamka si kwa hii video tu bali kwa video zote ulizochapisha kwenye mtandao huu.
Ni ombi langu uweze pia kuchapisha mazungumzo kuhusu mapenzi na mahusiano.

Shukran Bwana Mwijonge.

kutswastanley
Автор

kaz nzur kwa wakati muafaka unastahili heshima 👊

hassannjiku
Автор

Ila kiukweli huwa nakoshwa sana na mistari huyu jamaa, mwenyezimungu amuongoze katika shughuli zake.

saidikaondo