NAENDA KUSEMA KWA MAMA

preview_player
Показать описание
#clamvevo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

ninavyokupenda clam❤❤❤❤❤😅😅😅ila unachekesha wewe jaman hako katoto hatari nimekapenda bure

FatumaKingu
Автор

Kwakweli Asma una kipaji cha ajabu umeni furahisha sa🥰🥰🥰🥰🥰

winifridasallu
Автор

😂😂😂😂😂😂😂😂 umetisha rafiki Ang Kama comedy tu unaweza

LoisaTematema
Автор

Clam Vevo kwanini kweli ilimuima mukeako namutoto wako héla zacai lakini ukamupatia malaya kweli 🤭 imeniumiza Sana 😭😭 clam wewe niumbwa🐕🐕🤭🤦🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮

DieudonnéMUGIRANGABO-fo
Автор

Clam ww haki umerogwa ww Alie kuroga amefariki 🤣🤣🤣🤣🤣

gshshzhh
Автор

Jamani huyu mtt noma anamkausha damu baba😂😂😂

MwajumaNanyanje
Автор

Clam nimepasua kucheka mm nakupendea hivyo mm 🤣🤣🤣🤣

halima
Автор

Heri usemwe yaishe, la sivyo utakufa bure 😂😂😂😂

abomo
Автор

Kama Muna mkubali uyu kama nipe like zangu APA nipo zambia

joycezulu
Автор

Uyu baba uwaga anakaa analewa 🤣🤣🤣ama ni bhangii 🤣🤣🤣

dnoxdoris
Автор

pita na kwangu uone vichekesho vyangu uenjoy maisha

Mzuritvonline
Автор

Clam unajuwa sana kucheza comedy wewe nakicheche nani mwamba wakomedy tanzania

FaziliSelemani
Автор

Nakupnda baby Asma unajistirii na ushungi wko kokote MashaAllah 🥰😘

najmedy
Автор

Leo nimefurahi kwa collabo ambayo imewakutananisha nguli wa comed aiseee mnauwezo mkubwa sana

boythenuru
Автор

Afathali nisemwe mimi huu mzigo mzito wa kutishiwa kila saa

JustusMwania-bjxe