NEEMA YA MUNGU{Official Video}

preview_player
Показать описание
Kwaya Kuu ya Mtakatifu Cesilia _ Kisamba Parokia ya Mtakatifu Yudathadei - Ilumya Jimbo katoliki la Shinyanga wanapenda kutukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu unaitwa Neema ya Mungu, utunzi wake Steven Limila.

Get more videos from DADY Productions

WASTAHILI KUSIFIWA

EE BWANA UTEGE SIKIO LAKO

NIGUSE BWANA(Episode 01)

Kazi hii imerekodiwa katika studio za DADY PRODUCTIONS
_Sound Engineer: Dady Rutta
_Video Shot & Directed By Dady Rutta

Contact DADY Productions for booking
+255 745 260 131/+255 715 068 534
Nigusebwana#dadyproductions​#rajoproductions​ #holytrinitystudios​
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Duuuu jamaaaani daaaa punguzeni kutunga nyimbo kama iz nacheza ad tumbo linauma daaaa mubarikiwe

raphaelkarando
Автор

Nyimbo nzuri sinazoinua Imani yetu, kwa kweli nehema ya Mungu haupimiki kwa mizani tuzidi kumwomba atupe hekima ya kuishi Sheria yake siku zote za maisha yetu.

FABIANNYAMBATI-pizd
Автор

Ni neema yake Mungu, kuwa hapa nilipo🔥🔥🔥💃💃💙💙

jamesmigaya
Автор

Comforting hymn, may the Lord bless the choir!

anthonymagezi
Автор

Huu wimbo kuna sehemu umenikosha brooo najikuta naurudia kila time

heavenlymusicproduction
Автор

Kaz nzur mungu azid kuwainua kwaviwango vikubwa zaid

gracejalala
Автор

Hakika roho Mtakatifu anafanya kazi Yenu, , sauti zote ziko 🔥🔥

macharosandra
Автор

Niceeee! Hatar sana! Kifupi mpo vizur . Iko hivi:
mpangilio sauti 💯
Utamadunisho 💯
Mavazi 💯
Ubunifu k.v miavuli 💯
Nakadharika nayo 💯. Yaan kama sio wasukuma jamani watani zangu 😀😀

emmanuelabel
Автор

Great and bravo but creativity is uniqueness

makaliuscharles
Автор

Great song great reflection perfect liturgical dance.Mbarikiweni sana.

rosemalaba
Автор

Nimeusikiliza wimbo huu many times...NIGUSE BWANA na NEEMA YA MUNGU....nyimbo za aina yake Kwa Mungu 🔥🙏....hongera Daddy Rutta

judykemunto
Автор

Huu wimbo ni mzuri sana jamani, Mungu awabariki awabariki awabariki sana.

jamesjamesh.
Автор

Asanteni kwa wimbo huu mzuri. Mungu awabariki. Angalieni pia channel yangu ya nyimbo na mafundisho ya ndoa.

charlesmuvunga
Автор

I don't know to say but guys u are more melodies good song and good message congrats brothers and sisters

veshphelaa
Автор

Duh vizur havidumu, , , Rest in peace br.steve limila

ponsianonyangachi
Автор

Nice yake mwalimu limilah, , may he continue resting in eternal peace.

petergeorge