Huu Mwaka - Dayoo X Rayvanny (Official Lyric Video)

preview_player
Показать описание
Follow Rayvanny On:
Snapchat: Rayvanny chui
Tiktok: Rayvanny_chui

For Bookings:

#rayvanny #huumwaka #music #new #NextlevelMusic
Copyright ©2023 Next level Music. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Vocals zimeenda group of schools, already on repeat 🔁 mode hapa 254 🇰🇪, Huu mwaka natumai utakua wa manufaa kwetu sote 💪💪💪.

collinskenya
Автор

Chui ni msanii anayeshabikiwa na mashabiki wa team zote na wengi humwona kama hahit sana kumbe ndo anapenya kwenye mziki wa Bongo na kuendelea kuwa Bora.. Ni msanii anayeshabikiwa bila uteam .. ubora wa nyimbo zake ndio unamfanya abaki JUU ya mziki.. ❤️

BILLIONAIRETV
Автор

Huu mwaka lazima Niforce pia mimi, a very nice song big up my Gee❤❤❤

jaystar_ke
Автор

🇰🇪🇰🇪lazima tuforce juu wee ❤❤❤ best music

matete
Автор

Hii ni Anthem hapa 254🇰🇪... Huu Mwaka ni wangu 🇰🇪🤘✅🙏 Amen 🙏

Mr_Lionize
Автор

This Dayoo guy should be appreciated. Talent.

erickosgey
Автор

Rayvanny sings so softly with no effort ❤❤

djdottyMatrix
Автор

La musique préférée de ma playlist de l'année🎉🎉💃💃, huu mwaka🎉🎉

irakozejosiane
Автор

Ex wangu popote ulipo kubabako shetani akulambe uso ulinivunja moyo naomba uyo ulionaye akuvunje adi shingo

LadashaLilian
Автор

Best bongo 2024 song hakuna wa kupinga *hitImeweza

fransisamir
Автор

From your mouth Vannyboy to God's ears. Huu mwaka lazima tutoboe🙏

lpfpwnb
Автор

Pure creativity no nudes, no bad language, no women yaani huu wimbo uko lit🎉

GavinNjagi-pnyn
Автор

Rayvanny is blessed, keeps supporting young talent

malindianking
Автор

Hapo pa ukipata limama likomoe likupe pesa ndio inaharibu. The song is 🔥 🔥

MamaSamKK
Автор

Diamond ft rayvanny nani mkali mafans wa bongo ... feeling good from Kenya

vhoeoxr
Автор

Uliahidi mwaka huu nimwaka wafuraha kwetu tunasubili ❤❤❤❤❤ 😮

mg_panther
Автор

Rayvanny killed it am so proud of him much love from Kenya 🇰🇪

DremoDreezy-pkud
Автор

Tanzania inavijana wakujivunia aysee good, kazi kali sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Kevoodudu
Автор

Ryvanny, my favorite. What a song! Dayoo is the most underrated. Huu ni mwaka wangu eeh❤❤. Wapi likes zangu huku +254

lydiachepkoech
Автор

Huu mwaka eeh, huu mwaka i buy a car and i will sing again this song in public praising God, ,,Rayvany never disappoints

ogslyly