Angalia jinsi Simba na Yanga walivyotoana jasho kupata 2-2

preview_player
Показать описание
Highlights za mechi VPL kati ya Simba na Yanga iliyochezwa tarehe 04/01/2020 Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam.

#KariakooDerby #DarDerby #SimbaYanga #SimbaVSYanga #SimbaSC #YangaSC #UwanjaWaTaifa #BalamaMapinduzi #MeddieKagere #MohammedBanka #MoBanka
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unaangalia tena mbungi iii gonga like nyingi sana

chrismhonda
Автор

Najikumbusha kidogo YANGA 💚💛🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 2023

andreashayo
Автор

From Congo naipenda sana yanga siku muda wakati wa mechi ya yanga nitakuja niitizame Tanzanie maana naipenda sana hiyo team yanga

neuillyjoyce
Автор

Nipeni like za mwaka 2/1/2023 jamani yanga naipenda san

mwarabulaizer
Автор

Naiangalia kila Mara leo tarehe 06/08/2022 najma leo ni siku yetu wananchi hatuna jambo dogo leo kwa mkapa ni 🔥🔥🔥🔥🔥✅🔰

abdallahm
Автор

I wish ningekua mtanzania.... Inchi nzuli Sana kbsa....

tigana
Автор

Kama unaamin Simba walobebwa Sana achia like

edwingwesso
Автор

Anaeangalia hili game mpaka ss agonge like🤙 juma pili talee 23 mwezi wa 10 Simba anakula 2

rojasjonas
Автор

Baraka mpenja. Hiyo sauti aseee Mungu kakupa Inavutiaa

enockjigemelo
Автор

Sifa za pekee ziende kwa mfungaji wa goli la pili la Yanga MO Banka, maana alijitoa Muhanga kwelikweli🙌🙌🙌

thegreatsource
Автор

Mechi yangu pendwa kabisa hii ya simba na yanga🔥🔥

irenenyalla
Автор

Hiii mechi man of the match alkuwa farouk shikalo

sniperboy
Автор

hii ndio lig tamu Africa mashariki na kati naipenda sana timu yangu yanga Africa

seurisilanga
Автор

Very beautiful DERBY....one of the biggest derby in our AFRICA

sendo
Автор

Yanga doesn't give up. I love the spirit

dhakomodherooherokoko
Автор

Can't stop to watch this match every day

ednambata
Автор

Pole kagere nawachezaji wote kwa ujumla nawependa Sana Sana mwaaaa

zuhurasaidi
Автор

these are the best commentators in the world

rogerst.lwakataka
Автор

Gonga like kama unaangalia hii game december 2022

luthakyando
Автор

I love simba my timu noma sana, uchezaji wake utaupenda, kuliko washindwe hutok saresare

mariapialakanje