PENZI LA MASIKINI

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu dada anahitaji tuzo anajua bana🙌👏👏👏

Mariam-fmvq
Автор

Love you guys, mnajua hadi bas 👏🏿👏🏿👏🏿Mungu awape nguvu na uwezo mtoe muvi, itauza kote Afrika.Vai.. ❤️

elizaddy
Автор

Kidogo nitoe machozi, mara nikakumbuka ni acting, wapi likes jamani💕💕💕

pumzikokenyaproperties
Автор

Wao big up washiriki hongereni yani mnaweza hadi mnakera..Ilove you guys All...
Sisi wanawake Allah atusaidie kwakweli

shaphaina
Автор

Vaileti na bailam am sure kuna maisha flani wamepitia yanayoumiza mno mno, ndio mana hiv vipande wanavimudu go go go ndugu zangu Mungu atawashika mkono

mchumiajuani
Автор

Hakiki ni namba 1 natamani kuona movie yenu nzuma tupeni huyo utam bhana mnaweza

bajouboy
Автор

Nakukubali sana Vai mauwa yako dada we mzuri

ultimatespoon
Автор

Vailet shikamoo khaa😂😂😂👐bairam unakaz Analia kabsa dah ameibiwa gesi dah inaumizaa half jiko ulioiba kwa Mme wako analpkia mke mwenzio kwa clam😓😓😓bairam na vailet mbona wanajua sana au wengine hamuwaelewi

manyanyazakaria
Автор

Ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️❤️💯💯💯💯

حليمهالبلوشي-زث
Автор

Nampenda Vai!😍 Anajua sanaaa, kuigiza..👍🏻❤

satwanthoogan
Автор

Oooh wa kwanza leo kutoka Zanzibar..nipeni like

liylahahmed
Автор

Daaaa dada unaweza kwa viwango vya juuu, bigup

mcmlandali
Автор

Congratulations hii team mashallah kanzi nzuri

ramlasuleiman
Автор

Huyu dada na bailam wanajua mnoooo, Dada lea mwendamseke chukua hawa watu ni noma sana

mchumiajuani
Автор

Mnaweza mpk mnawezatena mashaallah 👏👏👏♥️

sharifahabsi
Автор

kazi nzuli ndungu zangu watanzania, , nawapenda sana, , mwanzo kicheche calm uyu msee na hao mabinti

jonnezjabatizo
Автор

Bailam unajua kucheza na hisia zangu....vaileth big up my young ccy

beatricedavid
Автор

Inauma 😭😭😭😭😭👌👌🥰🥰🥰mwenye busara umejifunza wakwanza mm hapa 🙋

tumajunior
Автор

Aiseee mmeziteka hisia zangu vbaya nawakubali mpaka naumwa aisee nyie mnajua👏👏👏

dubadontv
Автор

Nakubali vaileth nikiwa uko Congo DRC Yani nampenda anapo lia najiuliza ameumbika je

KitoBurhalike