GOLI LA MAX NZENGELI DHIDI YA SIMBA SC | FULL TIME: SIMBA 0 - 1 YANGA SC

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yanga Nini raha naisi kuumwa Chama na Max wapewe maua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

Diselakombo-duxo
Автор

Wananchiiii hoyeee 👍👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💚💚💚💚💚🏆🏆🏆🏆🏆🏆

johnjames-pwdp
Автор

Hii yanga unafungaje yanga bingwa💛💛💚💚💯

fatmaomar
Автор

Hilo goal linaingia afu tangazo la dozi kwa dozi linapita Azam wanafiki Sana

agapitymavunde
Автор

Natamani kucomment kwa voice note lakini basi tu ila ukweli nikwamba, sio leo toka zamani Mnyama ni demu wetu 🎻🎺🎤🎸

GraceMarine-vohu
Автор

Safi sana wanajeshi wetu endeleeni kupambana tuko nanyi kwa maombi 🎉🎉🎉

amaniomar
Автор

Parabenizo minha equipe Yanga por esta vitória, sempre em frente, nunca para trás.

johnhabona-lyoo
Автор

Hawajasema mpaka
Waseme hawa wanyama
🎉

DeloPatrick
welcome to shbcf.ru