NDIVYO ALIVYO

preview_player
Показать описание
Kwaya ya Mt.Maria Goreth_ Chuo Kikuu Cha Ushirika - Moshi Wanatukaribisha kusikilizana kutazamawimbo huu uitwao NDIVYO ALIVYO, Utunzi wake Fortune Shimanyi. Ni wimbo unaozitaja sifa za Mungu wetu.

Audio na Video za wimbo huu zimefanywa na RAJO Productions. Kinanda kimechezwa na Ray Ufunguo.
Tubarikiwe sote.#Miminaneema #rajoproductions
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyo ni Mungu na hizo ni sifa zake
Utukuzwe Ee Mungu uliyenipa uzima na Afya.. Mungu endelea kunikirimia baraka zako. unisamehe na makosa yangu

joymo
Автор

Nyimbo ni zuri wanakuwa wamejitahidi sana ongezeni.
Naendeleeni kusonga mbele katika uinjilishaji kwa nyimbo nzuri na zenye kuhamasisha.
Maana ninataka kwa wote, waimbaji na wasikilizaji.
Nawatakieni kila la heri kwa kila atua.

AmbrosiTairo-ce
Автор

Unajua huu wimboo unaujumbee mkubwaa saana, Amna kuka chainii fungua kishika sautii chakoo alafuu yakaziee ayooo manenoo utaelewaa vyemaa, sasaa ufunduu wa rajo production ukafanya mwonekanoo wa pekee wa video na kinanda chakee kinakosha mnooo

HeniryKifikilo
Автор

Mungu awabariki Kwa uinjilishaji wapendwa, hakika kazi nzuri,

MORICEZACHARIA
Автор

Kazi nzuri Ray, RAJO PRODUCTIONS team pamoja na waimbaji hawa wote.
Nazipenda kazi mnazofanya,
❤️🇰🇪🧡🇹🇿

andrewojwang
Автор

hongereni sana kwa wimbo mzuri.. hakika sauti ni za watu wanne jamani..

PaulCharles-ds
Автор

Huyo ni Mungu na hizo ni sifa zake milele🙏🙏🙏

BonnieDeLuke
Автор

Sifa kwa mungu milele 🙏 Asante yesu wangu

AnnitaShishi
Автор

The song is so touching especially during difficulty tyms, , God open your ears en look upon my cry for thee🎉🎉🙏🙏, , very touching dong

winfredngei
Автор

Ray Ufunguo bhana dah, most talented man Injilishaji mwema ndg na utunzi mwema

lugembevoice
Автор

Wakenya twapenda Sana nyimbo zenu.. mwatubariki Sana

eugenekeragori
Автор

I love this song..so touching, the choir is on top..my love for this choir is on another level. Representing from Kenya ❤️❤️❤️

ruthnjogu
Автор

Mungu ndivyo alivyo 🔥🔥🔥🔥💖, nishaupenda huu wimbo

Kazi nzuri@ Ray Ufunguo na rajo productions

phylismaina
Автор

Hakuna mtayarishaji mzuri tanzania kama huyu. hakika kabarikiwa ray ufunguo.

bobfurniture
Автор

Huyo ni Mungu na hizi ndo sifa zake , mbarikiwe sana .Amina

Afmacademy
Автор

Nice song..Tunawapenda sna wanakuaya wetu❤️❤️❤️❤️

KelvinGichuki-xp
Автор

Ndivyo alivo mwimbien mungu katk roho na kwel

MakiwaErasto
Автор

Wimbo mtamu...naomba wimbo wa mama Maria... your next song...much love guys....a proud Catholic here...🇰🇪

millicentmuya
Автор

I feel emotional when I am listening you, congratulation, keep up, I love you

cyriaquemfashwanayo
Автор

Hongeren kwa kutoa huo wimbo mzuri nam nimebarikiwa Sana na nawapenda sana

godfreymbwambo