UKINGONI MWA YORDANI // MSANII MUSIC GROUP

preview_player
Показать описание
Join this channel to get access to perks:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

The first time am enjoying this song, it has been a song that makes flashbacks of my late sister and dad, always listens to it with tears, at least today I have smiled throughout, keep it up

OnlineUpdates
Автор

Nyasae ana kobabeka aroro mogenderere koranderia ulimwengu kuhusu makuu na mazuri ya Maulana ❤️❤️❤️❤️

mteulehumblej
Автор

If replying this is a sin, I have sinned a million times.... May God continue blessing you Msanii 🙏🙏🙏🙏

billykarongo
Автор

Ndakomborerwa nerwiyo urwu. Ndakatanga kuona rwiyo rwenyu runonzi Jerusalem. Kubva ipapo ndakatanga kufarira group iri. Amen.

Sssss-xl
Автор

1. Ukingoni mwa Yordani
Ninaangalia
Bara nzuri ya Kanaani,
Ninayotamani.

Tutakaa pamoja na Yesu,
Katika pwani yenye raha;
Tutaimba wimbo wa Musa na
Kondoo, Milele hata milele.

2. Bara ile ina nuru,
Nuru ya milele;
Kristo, Jua, hutawala,
Hufukuza giza.

3. Nitapafikia lini
Na kubarikiwa,
Penye ufalme wa Baba,
Na kumwona uso?

4. Furaha yangu rohoni
Ni kuchukuliwa;
Siyaogopi mawimbi
Katika Yordani.

jeremiahjulias
Автор

Wimbo mtamu huu, wanisogeza karibu na mwokozi.

josiahnyakundi
Автор

Huu wimbo mli record zamani sababu Kuna mtu apo alishafariki miaka kadhaa nyuma

josephinamgeta
Автор

Min skirts and God is inversely proportional

mafuja
Автор

This song do remind me of my daddy and his immediate follower. It was their best...It always get me teary..Kindly bless me with number 154 swahili next time...nitashukuru

SimplyStacey.
Автор

Wimbo huu nimeupenda sana, Mungu awabariki sana.

evancemalissa
Автор

I can't wait.... My favorite Next should u mwendo gani nyumbani

chikujoyce
Автор

My favourite 🌹 song God bless you good work

sussymtunga
Автор

We were looking forward to seeing @msanii Group tomorrow🤔, why did you stood us up🙆

milcahndegwa
Автор

May you be blessed as you keep blessing us

omaepaul
Автор

Waiting my best song when i was in high school ....pastrol song...

theprinceafricake
Автор

Tutakaa pamoja na yesu katika pwani yenye raha amen amen

barakamusongya
Автор

Beautiful 🥰 plz do shall we gather at the river

pisdathsisters
Автор

I just love MMG. God bless you all. Greetings from Canada 🇨🇦

gloriousgal
Автор

The beats wah I love your style of singingMMG

sospeterkogei
Автор

Nice song like ule tutaimba mbinguni 💞💞 love from #Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇹🇿

irambonaericwamakamba
join shbcf.ru