Mbosso - Hodari ( Official Video Music )

preview_player
Показать описание

Follow Mbosso On:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama Vijana wa UVCCM tunatoa pongezi kwa WCBs kwa kazi zao nzuri na zenye Hamasa ya kusikilizwa, chapeni kazi mpo vizuri katika innovations and diffusions ninyi hamkamatiki. Kikubwa MUISHI VYEMA NA MKRUGENZI wenu Diamond platinum's Simba. Amewabeba. Gonga like shabiki wa WCBS.

masagapaul
Автор

KWA NYIMBO ZA MAPENZI MBOSSO HAWAKUWEZI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

bensonfrank
Автор

This guy Hadi sisi wasomali braza ❤❤King Mbosso 👑👑.Keep the hard work

kingcolonel
Автор

Kama umeludi Tena 2024 kusikiliza hii nyimbo tujuane kwa like

fortuneboat
Автор

Mmmmmh jomoni ati nalegea ikigusana yngu na yako. Mbosso mbinguni utaiskia tuu kwa hadithi sio kwa matusi hayo😂😂😂😂😂😂😂.Zari mama tee hodaaari💃💃💃💃😘😘😘😘😘

didahnassir
Автор

Nilijuwa tuu mbosso atakuwa ni mkaali... Wapi likes za mbosso angalau elfu moja twendeni naloo

Husseinmwanakombo
Автор

Like you mbosso your my singer keep up nimimi Kampala Uganda kwa majina NAITWA AWADH SALIM nyimbo ni sawa sawa nime pangika kwakisawa

AWADHSalimAhmed
Автор

Wasomali wenye wako kenya ndio mashabiki wengi waa bongo mbosso perform in Somalia 🇸🇴🇰🇪🇸🇴🇰🇪🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴

abdisamadmohamedhirsiabdis
Автор

Poleni watz kwa msiba uliowakumba 🇰🇪 love

ARTCELLENCY
Автор

Hii huwezi pita bila like..👍👍Wimbo nzuri sana wa kuskiza wakati mpo chumbani na mpenzi wako..

jwantheone
Автор

Hodari wamapenzi 🇿🇼🇿🇼...Swahili to the Nation ...Zim approves

saunyamathegreat
Автор

Wimbo mtamu, lugha nzuri, Toni nzuri, walahi, najiona si mwenye kukitendea haki kiswahili lugha yangu, lazima nikifanye kiwe kisu kikali chakukata na kuchinja nyoyo na akili za watu.

Mungu tubariki waswahili

sumiodilo
Автор

Team mbosso mko wapi kama nyinyi pia hodari gusa hapa tukisonga...

FROM

briandukes
Автор

Mboso najua hapa lazima umetoka na Toto ya Kizenji... Kideo kikali 🔥🔥🔥✔🙌

titusofficiall
Автор

Couple pendwa mashallah mwenyez. Mungu awajalie kwenye Kila jambo mm nawapenda kajala ww ndio mama mwenye nyumba wengine hatuwajui❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

RaylaElmi
Автор

Na legea ikingusana yangu na yako😘😘😘😘...woiii that verse is really something mob love from 254 my fellow Kenyans hit like tukiendanga

shanizemaixh
Автор

Much love from 254, , , kama ww ni hodari Mkenya like tujuane

shamsyinteriorfurniture
Автор

🚴🚴🚴🚴 mbona nimechelewa....😘😘😘😘😘😘😘that's my home

angienarsh
Автор

Mbosso malenga, mswahili halisi nina ujumbe huu kwako, "Kipaji cha muziki unacho, ufasaha wa lugha, misamiati na methali itakawa bora zaidi iwapo utakitumia Kipaji hicho kumtukuza Mungu Muumba wako kwa nyimbo.
Utaratibu wa muziki na unakshi kimziki umebobea.

chrismudogo
Автор

Wooow kama wakubali mboss yuko juu kweli kweli gonga like yako hapa plz 👏

hassanluqman