Mbosso - Tamu (Official Music Video) SKIZA 8544941 to 811

preview_player
Показать описание
TAMU is a swahili word meaning “Sweet” is a romantic love ballad that expresses Mbosso’s affection towards a beautiful lady. Lyrics to the song also enhance the beautiful physiques this woman has also being among the reasons why Mbosso finds everything about this woman Sweet.

Get tamu

Tamu was shot and directed by Tanzanian music video director: Kenny (from Zoom Production) and captured in the following Tanzanian locations of Mbeya Iringa & Dar es Salaam:

1. *CHUNYA MOUNTAIN (corner roads) - Mbeya*

2. *UTENGULE COFFEE LODGE - Mbeya*

3. *KITULO NATIONAL PARK (God’s Garden) - Iringa*
Known in Swahili as “Bustani ya Mungu” - God's Garden that is the name the locals call the Kitulo Plateau while botanists call it the Serengeti of Flowers, comparing it to the Serengeti National Park which is filled with huge varieties of animals. The Kitulo Plateau is filled with colorful varieties of flowers which blossom all year round. Formerly this beautiful place was known as Elton Plateau after Fredrick Elton discovered this area for the first time in 1870 and after being a sought after floral attraction for many tourists, in 2005 the Government officially declared Kitulo a National Park.

4. *NDANDALO SUSPENSION BRIDGE “Daraja La Kiteputepu” - Kyela, Mbeya*
This is a wire bridge of width just sufficient for a person to cross. It joins the villages of Ndandalo and Ibungu of Mbeya and Kirwa region. Locals use this bridge for daily transportation either by foot, bicycle or motor bike and cross said bridge by turns and a waiting gap of ten minutes each before the next cross.

Song produced by Lizer (Ayoo Lizer) from Wasafi

Follow Mbosso On:

Contact Zoom Production:
0718546547

#wasafi #mbosso #tamu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nchi yetu...wasanii wetu...kamera zetu...TV yetu...redio yetu...haiiii mamaaaa

azaliatz
Автор

Moja ya wimbo mzuri wa Mbosso wangu✌️ Kuangalia kutoka Malawi 🇲🇼 2024

LouisAndrew-jryj
Автор

Huyu kijana hachezi na muziki. Mambo serious!! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪

elijahmbugua
Автор

mbosso kill it as always tamu sana sauti yako''' show me your lv yo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

maandeeq
Автор

Awwww
I it..I love ur Energy MBOSSO.You Never Dissapoint. Team

dianajiana
Автор

Tunapenda ngoma zako mbosso love u Nairobi kenya

josejohn
Автор

Tumefufuka tena asante jah kama upo 2025 nionyeshe upendo❤ hapa

Nurudash
Автор

we mtoto umetuxhindaaaa yaan kama unamkubalii xna mbosso dondoxha like hapa

petermshani
Автор

Audio TAMU, video TAMU director Kenny we ni mnyama💪, beat TAMU, mazingira TAMU 💪👍🌟 mshedede💯✨

Jastus
Автор

All the way from Kenya, last week I promise myself to support Kenyan music in anyway but, I couldn't forget wcb of course this tamu by mbosso has brought bongo to another level, wapi likes jameni 🇰🇪

korirdenniskiprono
Автор

Kumbe Tz tuna maeneo mazuri hvy hii vdeo imechukuliwa mbeya na iringa nzur kwakwel

hadjahassan
Автор

Yani nikama movie dar!!! master umeuwa, , , yani wimbo moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

youngkingdk
Автор

Our Tanzanian country is so beautiful, #kilimanjaro #ngorongoro #serengeti #kitulo #mikumi #tarangire. cograts mbosso kwa kuthamin vivutio nya ndani.

enockelia
Автор

Mbosso mambo yote nitokae Kenya wafanya vyema kaka basi gongeni like nanyi wapenzi waskilizaji

fandyproperties
Автор

Sasa pale unapoamua MAPENZI BASI alafu Mboso atuachia hii ngoma, eeehhh liwe liwalo MAHABA NIUE kama mbaya mbaya

jamilayusufahmed
Автор

With this type of songs....unahitaji tuu dem mrembo na wine....baaas inaflow🎉😮

KINGJAMESGAMING
Автор

Nihatar sana tamu tamu tamu tamu yanipaka kisongoni nikikumbatia tamukolea

paulomoreal
Автор

kama unamtambua Mbosso kama mwimbaji hodari wa nyimbo za mapenzi, Honyesha kwa kutia kidole rangi

evansnjagi
Автор

Waswahili Walo nje ya East Africa likes zenu apa following from Asia

gregorybaraza
Автор

mimi beberu si jogoo la pasaka wanakunja ndita watazeeka wire ananisugua hanaga mbaaaaya laa fundi wire kazi anaijua🔥🔥🔥

zainabujuma