Katibu Mkuu wa NATO akutana na Waziri wa Ulinzi wa Marekani

preview_player
Показать описание
Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg ameendelea na ziara yake nchini Marekani Jumatano huko Wizara ya Ulinzi ya Marekani- Pentagon ambako alikutana na Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin. Viongozi hao wamejadili mambo kadhaa. Sikiliza muhtasari wa ripoti hii maalum anayokuletea mwandishi wetu Mkamiti Kibayasi...

#katibumkuu #nato #jensstoltenberg #ziara #marekani #waziriwaulinzi #lloydaustin #ukraine #uvamiziwarussia #voa #voaswahili #dunianileo - - - - -
#VOASwahili

Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kichapo mnachopokea huko Ukreine ni Cha haja.

gilbertkalanda