Takriban ni miaka miwili tangu kulipuka volcano, yakadiriwa watu nusu milioni hawana makazi

preview_player
Показать описание
Ni takriban miaka miwili tangu kulipuka volcano huko mashariki ya DRC ambako karibu watu nusu milioni wamelazimika kuhama makazi yao kwa nguvu na wengine kukoseshwa makazi. Mapigano pia yamesababisha kukimbia makazi yao.
#volcano #mlipuko #vita #watu #makazi #drc #vita #voa #voaswahili #dunianileo

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ata ukiona redio hizi zakuegemea upande mmja zinaongea ukweli kuhusu ukren jins inavoangamia kwamakobora yauruc bas ujue ukren by by imekwisha tena itakwisha vibaya acha tuone paty 😁

mabagaplatnum
Автор

Wamagaribi watanaka kuwaingilia kama vile waliingia Libyan na Iraq ni wavunza wale fasi wamefika kipimo shida itokeye muisha kama vile mulivio eshimieni mila na desturi zenu bila kuhiga za wanafki

mukumbilwa
Автор

Zelensky ongea na Putin muelewane achana na kiki watu wako wameisha kufa wengi zaidi wasiyo na atiya achana na nchi za magaribi wanafki sana amani kwao hamna

mukumbilwa
Автор

President needs to agree on ceasefire 🙏🙏🙏

pelagiebuchanan
Автор

Inapaswa Tanzanian tujenge mitambo ya nyuklia cos majirani wanajenga kwa kas ajabu Ni kitisho kikubwa hicho inabidi tusichukulie mzaha nasisi tujenge kwa lengo la kujilinda.

ismailmshana
Автор

Wajeshi la kigeni wapo wenye furaha yani, kwani hawana msaada wowote wapo nasaidiya congo ispokuwa kupora madini, wote ni wanafki

mukumbilwa
Автор

Muheshimiwa Rais wa Marekani Mr Joe Biden na Au tunaomba usaidie jeshi la wananchi wa ukraine mitambo ya kutungua makombora ya mchokozi putini kukinga wananchi na miondombinu tafadhali

ismailmshana
visit shbcf.ru