SHUKRANI - Mzinga Youth Choir, MYC

preview_player
Показать описание
Choir: Mzinga Youth Choir (MYC)
Song : SHUKRANI
Audio : Ararati Studio
Video Dr : VANKUVA
Composer: Oswald Rupiah
Choir Mater/Arranged: Gilliard Sospeter
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

All the way from TikTok, ninatoa shukrani Bwana kwa kuuona huu mwezi wa 10 mwaka2022 😭 Asante kwa mibaraka uliyonitendea . Much love from 🇸🇦 Saudi Arabia 💖💖❤️❤️, l can't stop listening to this song, plz put more likes if you are blessed with this song

lucyanyango
Автор

Thanks sana to Almighty Father for the far He has brought us.
I'm here on 31st Dec 2024🤗🤗😊😊😊

Briton-Onyango
Автор

I can't thank God enough for my sons.For 17years my son always longed to have a sibling but i ended up twice in theatre without a baby.
God blessed me with my second child( a boy) last year.
God receive my gratitude for the blessings upon my life.

divinahmosota
Автор

Today being a new month I thank God for this far and this song is a nice piece of blessings for the start of the month 🙏 may God continue blessing you with such wonderful voices

K.userdait
Автор

This song is about to go viral, moto sana💯💯

Andrewtate
Автор

hello am from kenya i want to tellu that this song has blessed as in a special way my mom used to sing this song when she was in pain she was suffering from breast cancer and i sang for her the last day shwee died she told me tme that we will sing both of us when she got healed and i beleive she got healed and that iss why i will alwayds sing this song

PeterNganga-frsr
Автор

Siku zinapita, wiki zinaenda, ni Mungu katuvusha mwezi hata mwaka, tunatoa shukrani Bwana wetu pokea utukuzwe kwa makuu unayotenda Ameeeen🙏🙏

stelladavid
Автор

Nimetafuta huu wimbo Sana but finally nimeupata❤❤❤❤wapy likes jamani

elizabethmukulu-zt
Автор

Bwana awabariki Sanaa vijana Mzinga. Tuko pamoja kwa kazi hii.

ADVENTISTKIDSLIFEAKILI
Автор

I play this song 10 times wakati ninaiskiliza

christinebosibori
Автор

Tunashukuru Mwenyezi Muumbaji Kwa kutuvusha mwaka

dominicisoe
Автор

As I usher in 2023.I have to listen to this more and more...Ahsante Mungu.

brianodhiambookindo
Автор

Can't get enough of this song am so much thankful to God He has done marvellous bwana pokea shukrani

gracenjambi
Автор

Huu wimbo umekuwa dawaa katika maisha yangu.. niliutafuta sana sasa nimeupataaa...umekuwa ringtone kwa simu yangu..haki nabarikiwa sanaa na huu wimbo....

Mungu awabariki

dinessaikong
Автор

Ase waimbaj wainjili mnahubiri zaid ya mchungaj mbarikiwe

geeboy
Автор

This is 2024 now and this song is still a blessing. Barikiweni sana and we want another one now ❤.

lucymuturi
Автор

Tiktok kanileta hapa.what a nice song.

fridakoech
Автор

Whoever composed it, , min azidi kukupa kipawa icho, ili uweze kutungu mengi zaidi, , , also whoever sings alto, , barikiwa sana, , , I lack words to express my love for this song💜💜💜

evansgriffithskemboi
Автор

Nashukuru Mungu kwa kunifikisha leo siku ya mwisho wa mwaka huu 2024, ni 31 December 2024, Asante Mungu wangu kwa ulinzi wako licha ya mengi niliyopitia

benardotuoma
Автор

Am not an SDA but I love this song, each and everything blessing that comes on my way I give thanks

nkathaglory