RAIS SAMIA ASIMULIA ALIVYOKAMATWA NA TRAFFIC USIKU 'ALINIULIZA WEWE NI NANI NIKAMWAMBIA MI SAMIA'

preview_player
Показать описание
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 12 Desemba, 202 ameshiriki katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, Kurasini, Jijini Dar es Salaam
akihutubia mbele ya maafisa hao na viongozi mbalimbali amesimulia changamoto za Traffic alizowaikukutana nazo barabarani.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu Mama nimpole sana tena sana tumpende wote kwaujumla iliaweze kuchapa kazi kwa bidii, angekuwa mtu mwingine angefukuza mkuu wamapolice TZ nahao majambazi Traffic police ambao walikuakazini usiku huo. No one like Mama samia" JAH bless🙏

nzizajovinpaul
Автор

Tunachojifunza hapa ni nini, baadhi ya trafic officers ni wa hovyo sana na hawajitambui, wala rushwa na mkubwa serikalini au mtu anaefahamika anaweza kuwa favoured but watu wa chini wengi wanateseka na kunywimwa haki na thamani ya utu.Jeshi la police linahitaji maboresho zaidi ili liendane na wakati . Asante Rais wetu mpendwa kwa kulijuza jeshi letu.

BankerForeign-rr
Автор

Nakupenda sana kiongozi wangu Mama angu kipenzi Mama samia suluhu Hassan. Mungu akuzidishie hekma na busara nyingi kama Suleiman love u Mama

TiffahMihayo
Автор

Maneno ya busara na hekma kutoka kwa Rais wetu na mama yetu SSH, Allah akupe afya njema na akupe umri mrefu inshaa Allah, Nakupenda sana mama ❤ hii video imeniuma sana eti "waarabu" kwahiyo angelikua mwafrika yasingetokea hayo wala kauli hizo za kibaguzi na ukabila!!, waarabu ni ndugu zetu na tunawapenda sana, wewe unaewachukia utajua mwenyewe, huwapunguzii chochote. Mama piga kazi, wabaguzi wapo tu, hata ukiingia mitandao ya jamiiforum n.k wapo tu, sisi ndugu zako tuko nyuma yako inshaa Allah, Allah awe nawe ❤

SMGL
Автор

Hongera Sana Malikia Samia Kwa KAZI nzuri Rais wetu kipenzi

esterandson
Автор

MAMA SAMIA SULUHU HASSAN MAY ALLAH GIVE YOU MORE YEARS TO LIVE ALLAHUMMA AMEEN.

husseinibrahim
Автор

Asante mama..afadhali umeyaongea yatasaidia ktk jeshi la polisi ktk kujitekebisha

annamelchiard
Автор

Nam mheshimiwa mama samiya mola akuhifadhi akupe afya nzuri ni fahim, kutoka kenya

FahimBaroba
Автор

Watanzania mnabahati sana huyu Mama nimkarimu kiasi kisicho mithilika la sivyo jeshi zima la polisi lingehara kwa maamuzi yake("watching from🇰🇪")

dennowderullow
Автор

Kama umewaona askari wamepeana tano😀 baada ya mama kusema aliambiwa hao mbu hawana shamba waache kwa sana🔥🔥

Mzalendo-
Автор

Pole sana Mama yetu ndiyo Askari Traffic wetu wanaotusumbua mitaani hao

danielmpigasupi
Автор

Rais wetu mungwana sana M/mungu ametaka kukuonyesha hali halisi ya askari unaowaongoza na dhulma wanazo zifanya kwa raia spat picha hali ingekuaje rais wa nchi angelikua mbabe

ngogedecoration
Автор

Maaasha Allah mama nakukubali sana umekuwa msfahmilivu tangu zamani maskini walikubagua ila leo umefika mahali Mungu aliamua ufike. Hongera sana nakupenda sana na nakukubali kinowmaa

salimally
Автор

Salute,
Tujifunze kitu hapo wewe polisi angalia kauli na vitisho hunaye mtisha leo hujui kesho yake atakuwa nani.

Frankgamanuel
Автор

Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yangu kama hautojali

muhammadkipangatv
Автор

Huyu Mtu yeye anasema taratibu hila Anajua Mengi Sana Moyoni mwake...Bravo Samiath Suluhu Hassan.Songa mbele Usiogope.

kalumbugideon
Автор

Mama umeongea point kubwa Sana kutoka oman mama fanya kazi mashaallaah

salehalzakwani
Автор

Love u so much my mama president♥️♥️♥️♥️♥️

naamanhaji
Автор

Mimi kweli kweli unawajua wao wao kasheshe hawa jamani ukikutana nao hawana mchezo afadhali uwajua ubarikiwe Rais wetu

dn.n
Автор

Kumbee mama anajuwa kuekti kama Raiaa, Allah amuhifadhi 🤲🤲🤲🤍💯

Mohammadallawieyn