Mwalimu Janet wa BABA OLIVIA afunguka: Mimi ni muhudumu wa ndege, kuigiza kunanipenda tu

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu akufanikishe zaidi kimataifa pia katika eneo hilo la uigizaji piga kazi mama Nakupenda sana ❤

justingeorge
Автор

Kumbe Mwalimu Janet hata akiwa kwny uhalisia ni mzuri vilevile❤❤❤, hongera Teacher unaigiza vzr sn yani km ni uhalisia vile👏👏👏👏👏👏👏👏👏

othmanhamad
Автор

Crew nzima ya baba Olivia imecheza vizuri! Kongole🎉🙌

rajabdibwa
Автор

Uyo dada walai ❤❤❤natamani ata ningekuwa mm Baba Olivia

salimbilali
Автор

I like this Sophie, mwalimu Janet is the reason I'm following it, 🇸🇿🇸🇿🇸🇿🇸🇿

Wandiesborne-erzq
Автор

Napenda sana kuigiza kwa uyu dada, nili anza mufatiliya Tangu UHURU N'a GARAMA YAKe, anafanya vizuri sana piya baba Olivia amemaliza sana, mimi nimuigizaji kutoka DRC Congo, 🇨🇩 Kalemie tapenda kama Host ukiniunga naye

jacquessaidialimasi
Автор

Criss favor umetisha sana kwenye hii interview, umemchomekea amefunga zaidi afu ni mpole sana Hana sijui no comments 😂😂

nouraynaasheikhunkabir
Автор

Tanzania nzima sasa kipaji na uigizaji kiko juu kuliko kazi zengine zile hongereni Sana mnaiinua inchi yenu kupitia Sanaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🌹🌹💯💯

rashidgona
Автор

Gani asingekuwa na mke hakika mi ningemwambia amuoe mwlim Janeth ila kwasababu ni muislamu amuoe mke wa pili ❤

hendricksjohn
Автор

Mwalimu wke Olivia uyoo🎉🎉🎉 Nakupenda bure

MdNasr-jmpj
Автор

Mwalimu Janet mule ndani katisha sana mpak nataman wawe mke na mume❤

SheihanShabab
Автор

Wanawake wengine hawajazaa lkn wanapenda watoto hatar🎉🎉❤

MdNasr-jmpj
Автор

mwalimu ila we ni mzuri❤😂tena we ni mzuri sana

yvesninezereza
Автор

Thanks guys interview nzuri sana! 🙏🏾🙏🏾

henrymwakajumba
Автор

sema Kalembo sana aka kadada napenda sana 🎉🎉

timamulituto
Автор

Huyu dada ni zaidi ya mtu kwenye kazi yake namkubali sana ingawa nimekuwa nikiangalia vipande vidogovidogo chukua🥀🥗🌷Yako mwalimu unaweza

eliapendakileo
Автор

Sina cha kusema mmetisha sana kwenye hii series kongole kwenu, ila Gabo ni moto sana hongereni nyote.

addolphfrank
Автор

Congratulations to this woman She is a good performer in Baba Oliver movie

muksinarchard
Автор

Well done Mwalimu Janeth, mme Perform vizuri

gilbertuisso
Автор

Hongera sana mwalimu Janet yani umetisha kila mahali asey ❤❤🎉🎉

faridaali