KOCHA WA SIMBA {FADLU} AKUTANA NA GAMONDI KWA MKAPA | TAZAMA SALAMU ZAO | DABI NI KESHO

preview_player
Показать описание
Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Je baba Yako naye niwawapi wabuguludi au tandale huyo kocha anataaluma wewe mshamba huyo kocha wako wa yanga kipala kama tako la baba Yako muuza matunda ya kuoza

rosemwanazyungu
Автор

Hata na nyinyi mnaongea kama chiliku kwani kuongea sana pia bodi ya ligi nayo itatoa rungu kwa kocha fadlu?

SalmaChamy-tgbo
Автор

Kocha fadlu umetukosea sana kumpa mkono gamondi hao watu sio wazuri hata kidogo.
Tuawafahmu wamekua kama mashetani hao kwenye mwanya mdogo tu wao wanajipenyeza kwa hiyo kuwa makini nao jamaa nguvu za giza wanazipenda sana tena zaidi ya sana huo mkono uliopewa hapo usishangae katumwa mtu hapo kuna kajini katumwa

SalmaChamy-tgbo
Автор

Kocha wa simba anaongea sana..maneno mengi mnoo.. gamondi hana mambo mengi

josephlorri
Автор

Huyu kocha wa simba yupo kama mwanamke wa buzaaa😊😊

viayo