MSHAMBULIAJI WETU MPYA ATEBA ALIVYOKUTANA NA KOCHA FADLU KAMBINI ILIKUA HIVI TAZAMA HAPA

preview_player
Показать описание
SUBSCRIBE NOW:

About the Official Simba SC YouTube Channel:

Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference

🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Msimu huu lazima tufike Nchi ya Ahadi karibu sana Lionel Christian Ateba Simba Nguvu moja #Ubaya Ubwela

mochrissbyser
Автор

Tumheshimu Kocha Wetu..Naamini tutafika mbali..Tusisahau Dua🙏🏽🇹🇿💫

Jayhood
Автор

Tumweke mungu mbele ampe maarifa fadlu ashinde mitego ya maadui zake amina

MagrethMoleli-pyzu
Автор

Ndo alikuwa anamtaka Sasa kazi kwake Simba tunataka furaha tu Simba nguvu moja 🦁 like

paaboytz
Автор

Simba nguvu moja Mungu naomba uibariki Simba sports club 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

WendeMposola
Автор

Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi na awalinde waweze kufanya majukum yao vzr

athumanfuko
Автор

Hakika ni furaha ndugu wawili wamekutana ktk team moja. Chemalon fondo and leonel ateba. Naipenda simba daima

EddyOmary-pg
Автор

Christian ronaldo lionel messi ateba❤❤🎉

BernaDf
Автор

Dua ni muhimu sana wakati huu Kwa wachezaji wetu na makocha wetu

MastarKuntuabaharia
Автор

Kikubwa ni umojaa wa wachezaji wacheze kama kama tunautka ubingwa msimu huuu, tunautaka ubi

BrazaVille-wehs
Автор

SIMBA NGUVU MOJA ❤️💯❤️ na ubaya ubwela 😂😂😂

halidimgonza
Автор

Mwamba hajui kingereza sijui itakuwaje

Miracle-uo
Автор

Saaa kazi kwake mwalimu amepewa alichotaka tunamudai

JoseHaule-txlu
Автор

Yani kocha tumpa uhuru wa kutosha❤❤❤❤nimeipenda hii ndo football inatakiwa iende🎉🎉🎉

josephfrank
Автор

Viongoz mmesajili vzr sn ila jitaidini kuwa karibu sn na wachezaji, na mjue safari hii tuna vita kubwa sn.

jimmydizonga
Автор

Ila maajabu hana labda aanze kuonesha kwa simba.

musichealsTz
Автор

Kuna jambo huwa najifunza mala zote kwann jwaneng galaxy wamekaa na kocha mda mrefu hivi au Asec mbona makocha wako nao mda mrefu hivi nadhan tunapaswa kujifunza pia

moodoyertv
Автор

Jaman huyu Kocha nashauriki Kwa viongozi wetu wamtunze kama kweli tunalengo la kutimiza project yetu...namuona atatupeleka kwenye nchi ya ahadi

laurentmyeule
Автор

kocha mpaka kamtaja jina inamaanisha anamjua n alimuhitaji

jumanneally
Автор

Che Malone anafaa kuwa Captain wa Timu

Jerie-qc