Kinachoendelea Leaders Club muda huu baada ya zuio la Fiesta kufanyika katika viwanja hivi

preview_player
Показать описание
Kinacho endelea Leaders Club muda huu baada ya zuio la Fiesta kufanyika katika viwanja hivi.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mchezo Usiuchezee Wewe Kaabisaa.
WCB wote Gonga like Hapa.
Subscribe YouTube channel yang

diamondplatnumznewsajm
Автор

Kwa nn msingewajulisha mapema clouds mnasitisha yamebaki masaa, harafu ndo mnawahamisha haiko sawa👌🏻

waridsyangadamu
Автор

Jamani Fiesta ndio imepita km ushuzi 😂😂😂sio maneno yng jamaa msinitolee povu #Afandesele

marinamooh
Автор

Kazi wanayo nawatapata tabu sana.nakama umemuona Steve nyerere nangwanda gonga like

ovn-sportswear
Автор

Njooni Mtwara tujoin Wasafi Festival Watanzania Wote ni Kitu Kimoja peace and love 😍 😍

susanlazaro
Автор

Mbona mbwa hamtuleten nanyie mshajigawamakundi eeee hatuwaelewi km hamjatuletea wasaf festival

naslamgollowatuacheee
Автор

TIKET AZIUZW KUBWA MOJA IMEGEUKA KUBWA MAVI.MCHEZO USIUCHEZEE KABISAAAA KONK KONK KONK SIMBA

shabanikhalidi
Автор

Ba fiesta mwilamkonka mu mano Diamond platinum

jamesgabriel
Автор

❤❤❤❤❤❤❤❤love sns ila mashabiki washaanza maneno maneno yakuonyesha upande wa pili ndo sababu ila hilo eneo hata mwaka jana lilikua na migogoro na makonda ndo mwanzilishi ila kuhusu ili jambo linanjia nyingi sana tuangalie tu litaishia wp

kuluthummbegakulu
Автор

Maan paul makonda hakuljua hili mapema ama n walilijua ili karib mwez mzima wanatangaz jmn

lilianjeremiah
Автор

Bwana eeh ukwel n kwamba tickets wameuza chache sana ndomana

Bullah_tz
Автор

Kwa hiyo timu nzima mko kuhusu mtwara?

salmaqueen