JINSI YAKUPIKA SPAGETI NA NYAMA YA KUSAGA YAKUCHANGANYA | TAMBI ZA NYAMA YA KUSAGA .

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Watching in 2020. Venye napenda mapishi I think I'll have to try this.... Luks so yummy 😋 ma'asha'allah

Tadroontv
Автор

hehehe mashallah mpishi mzuri mashallah na chakula nacho usiseme

hamidabduhamid
Автор

Superget za Julia na mboga haziwekwi sukari??

mockyjohn
Автор

Je, baada yakuchemsha supageti naeza nyunyizia maji fresh

bbyfahimaipthisam
Автор

Naomba kuuliza, me unaweza kutumia curry poder na beef masala kwa pamoja

mockyjohn
Автор

Nimependa ila nisingependa kutumia ndimu

zanzibardollhouse
Автор

Mafuta vijiko 2
Vitunguu maji
Kitunguu saumu na tangawizi
Tomato sauce iiive itoe mafuta
Curry powder
Royco
Pili pili manga
Chumvi
Nyama kusaga
Pilipili hoho ya kusaga na karoti kusaga
Ndimu

farajangandu