Spaghetti na nyama ya keema | Jinsi yakupika spaghetti na mchuzi wa nyama yakusaga mtamu sana.

preview_player
Показать описание
#mapishiyakiswahili #spaghettinanyamayakusaga #tambinamchuziwanyama

Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen

Mahitaji:-
1/2kg nyama yakusaga
Spaghetti
Chumvi
Pilipili manga kijiko 1kidogo
Kitunguusaumu kijiko cha kula
Tangawizi kijiko 1cha kula
Mafuta vijiko 3-4 vya kula
1kitunguu maji
Karroti 2
Vijko 2 vya pilipiliboga iliyochangwa na majani ya giligilani/dania
Tomato 🍅 2
Tomato mkebe vijiko 2 vya kula
Manjano kijiko kidogo
Currypowder kijiko kidogo
Kidonge cha jumbo au magi nusu
Kijiko 1 royco powder
Ndimu 1
Maji

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Was looking for pasta recipe the best 👌

sudiamran
Автор

Mashaallah nikitaka unifunze nakupataje

ziadaambanjaula
Автор

Masha'Allah zavutia sana sister 😋👌

tajiriskitchenswahiliflavo
Автор

Asante dada rukia ntajaribu hii yako maana zangu sionagi kama ni tamu

ilovejesus
Автор

Jazaki Allahu Khairaan Kathiraan kwa Darsa Muruwa.

safiaothman
Автор

Waouhhhh na appreciate mapishi yako sana thank you😍

briamjojo
Автор

Hi love, , yummy, your recipe is on another level, , bless you

mariamibrahim
Автор

The best utuber i know so far 😍😍😍😘thanks for ur yummiest cookings but I have one concern, da rukia ni kwnn cku hiz hutuoneshi viungo kwanza km vile ukifanya hapo awali?? Plz let us know vitu unavotumia kwanza kabla hujaanza kupika.

zulfinachende
Автор

Vip hizo njegere umezichemsha kwanza ama unaziweka ivo mbichi

tumaramadhanghulaam