Mziki wa dansi zilipendwa- Washirika -Julie

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Naomba kibao cha Anitha. Kwa kweli Eddy Sheggy anastahili Tuzo yaMuziki wa Dansi hapa nchini. Fast Mover Mungu Ampumzishe Mahall pema peponi, AMINA,

costantinestephen
Автор

Uyu mtu nikipaji kikubwa sana, Kaka yangu Mungu akupumzishe pema, ,kwao vuga lushoto Tanga

allenshetuli
Автор

Tumepoteza muziki wetu kwa kisingizio cha kizazi kipya, aibu kwetu. Fast mover Eddie Sheggy alikuwa makini sana

tumainindaki
Автор

Nimekumbuka zamani sana tulianzisha band yetu magitaa ya madebe nilikuwa mwimbaji nikijiita
Sheggy

kelvinrashmarwa
Автор

Bendi ilikusanya wagosi wengi mno na kazi zake ziko poa asante sana watunjatanjata Abdul salvadoo, sheggy, kalala na wengine wengi

najmasaleh
Автор

Duuh! Eddy shage! Umenikumbusha mbali Sana! Asante Sana kwa burudani. Asante washirika

julithamuhale
Автор

Mungu amuweke mahali pema shujaa huyu Eddie Sheggy!Kazikwa akiwa masikini kabisa nyumbani kwao Tanga!Alikuwa anajua sana muziki huyu bingwa!

ughcleo
Автор

...Ufukara umekuwa kashfa ya mapenzi yangu.. nakumbuka migombani street mikocheni mwaka 1989 nikiwa darasa la 3 Mbuyuni primary. Narudi home nakuta ugali na ndondo halafu RTD kinapigwa hiki kibao.

toshamezaw
Автор

Nikawa radhi hata cfikii nafsi yangu thaman ya kukupenda nilidiliki dunia nzima kunitenga lakin si wewe kipenz.kwa kwel nasema nasikitika kwanza kumpoteza eddie na pia kupoteza mziki huuu jaman daah

iddikambi
Автор

Duuh.njata moto wa kuotea mbali.nimekubali eddie

erickwambia
Автор

Nakumbuka miaka ya 1989 JKT Makutupora tukiwa tunaenda kukata kuni ( Mitunduru) asubuhi huku tunasikiliza RTD kipindi cha Kombora.

chakubangs
Автор

Ndugu Edie Asante sana kwa nyimbo hizi nzuri kwangu umenikumbusha mbali sana toka sukuma land CCM kirumba, Pamba sana Tp lindanda, Pan African kweli Watanzania hawana shukurani vipaji kama hivi havitaweza tokea na wala hawakumbukwi kweli nabii uwa anathamani kwao, huu ndio muziki uliokuwa unapigwa ns watu wenye vipaji na sauti sio bongo fleva wakati wamekopi soul au zouk au hip hop halafu wanasema bongo fleva asante sana

bigdad
Автор

Daah! Wimbo naupenda huu! Asanteni Sana washirika watu njatanjata!

julithamuhale
Автор

kwangu ni maumivu makubwa sana niusikiapo huu wimbo

elialesley
Автор

Daaah, 92 club, pale siku hizi sanciro....Adam Bakari, panduka, fast mover..aisee kulikuaga hakuna foleni, niko mgabe primary school la 4 b 1992...

robertnkungwe
Автор

Music huu nilikua nausikiliza kwa utulivu, hayati Babu yangu alipenda sana music Mungu kwa kuishi zama ambazo Tz ilikua na Muziki maridadi sana .
Zama ambazo wote tulisikiliza Radio ya Taifa ikiungurumisha kwenye mawimbi ya Short wave kwenda duniani kote .

mwasakafyukasamson
Автор

Nampenda sana Idi Shegi. Yupo sawa .

fredricknkwanga
Автор

safi sana nimemkumbuka eddy sheggy fast mover wakati nasoma msingi na secondary Eddie namba niongezee nyimbo za sheggy kama zayumba, ketti, anita,penzi LA ulaghai, milima ya kwetu, na nyinginezo

shanjarikayusuph
Автор

asante nyimbo nzuri sana na sauti ya Eddie sheggy..

claudibrain
Автор

Mbona nyimbo nyingine azionekani Jamani, kama Anitha, Subila, za Eddy shegy izo

mohamedykitwiko
join shbcf.ru