Mziki wa dansi zilipendwa- Marquiz -Najua utanikumbuka

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Natakaa nyimbo mix zote za makwizi du zaile zote dj naham sana kuziskilizaaa mzee baba

gabrielmdem
Автор

Wakati Bora umepita Kila muda ni kumbukumbu zilizo njema

sangomamourice
Автор

Asante Sana Marquis wimbo mzuri Sana utafikiri umetungwa 2030! Mola awalaze pema peponi wote waliotangulia mbele ya haki! Jamani ala za huu mziki Ni Babu kubwa! Wanaume wa Leo, Maquiz wanawaambia acheni hivyo!Ohhhh najua utanikumbuka ohooo mama eyee! Matatizo yote Asante Issa Nundu Mungu akulaze mahali pema! Ulikuwa na sauti nzuri

julithamuhale
Автор

Ya kale ni dhahabu, nakumbuka nikiwa Magomeni kwa kaka yangu Mwl Essau Ngadala, wakati huo akifundisha Kibasila Sekondari

kokombwana
Автор

Huu wimbo unanikumbusha nadhani ilikua 1986 nikiwa darasa la 2 nikiwa nasafiri kutoka Iringa kwenda Mafinga. Nikiwa nimepanda basi la Mwafrika (inasemekana yalikua mabasi ya kina Mike Tee) yalikua mabasi maarufu sana enzi hizo. Dereva alpiga wimbo huu na Mario wa Lwambo mwanzo mwisho. Tangu hapo haujanitoka kichwani

TheFaraja
Автор

Zinakumbusha mbali sana sana hizi ngoma

BarakaPascal-vv
Автор

Hongera wrote waloshiki kutarisha mziki huu kwani wametulia sana ni mabingwa sana
Nawapa hongera sana

omardadi
Автор

Eddy unatisha kama njaa nakukubali sana uko juu

ibrahimkambi
Автор

Daa nakumbuka mbali sana nasoma shule yamsingi yombo dovya wilaya ya temeke malehemu baba yangu alikuwa akizipenda sana hizi nyimbo zinamafundisho sana mana hapa nishailudisha mala tano naisikiliza lakini haishi amu duu hassan Emirates Dubai bigap sana uliyotuwekea mungu hakupe wepesi

hassanathumanpamojasanamsa
Автор

Kupitia simu nimezijua hasa bendi za Tz. Sasa najua kulikuwa na bendi hii hatari Sana Marquiz. Nilikuwa nikisikia nyimbo nazipenda bila kujua nani alipiga. Sasa nawajua Marquiz na nyimbo kama wanaume wa leo na maboringo. Aa! Machozi yanatoka

mtaninjegere
Автор

Nakummbuka miaka ya late 80s Kipande Psrimary School, rafiki yangu Dodwine Sanka akipiaga firimbi kuiga hilo gitaa maradhawawa!!😢 Mweee!!

hutexev
Автор

Dah...mnatuliza wakuu. Enzi dunia ikiwa mahali pa raha!

winstonmassam
Автор

Nyimbo hii inanikumbusha marehemu mjomba wangu mzee juma mwakibinga alikuwa anaipenda sana.

mbangakanoni
Автор

Namsikia Issa nundu akilalamika c mchezo nilikuwa dogo kabisa kweli cm imenifanya nifahamu mambo mengi

omarykhalfan
Автор

Hi nyimbo inanikumbusha nduguyangu bashiri uhadi alikua anapenda sana mziki malanyingi alikua akiweka nyimbo hi

brandyuhadi
Автор

Eddie asante kwa kazi nzuri ya kutuwekea vibao vizuri vya zamani, huu wimbo naupenda sana kwakuwa ni mambo ambayo hata mimi nilifanya ila niliwahi kurudi nyuma na kurekebisha. Hata hivyo natamani nyimbo zifuatazo:-
a. Msimamo wa Nyererre- King Ki
b. Bahati yangu - Marquis Original
c. Asia - Bima Lee(Belesa Kakere)
Kama utazipta tuwekee tuburudike sie vija wa zamani.

mngoremtawa
Автор

Mimi sijui hatammoja wimbo mzuri Sana anaewafahamu anijulishe

raymondjulius
Автор

Wimbo huu unanikumbusha enzi za MiembeniBar Bungoni kwa Mzee Ndevu kila Ijumaa Mambo yalikuwa moto Ilala nzima.

modestwenceslaus
Автор

Machozi yananilengalenga kusikia wimbo huu, sijui kwa nini! kweli kuna waimbaji walikuwa na kipaji! asante Eddie kutuwekea za zama zetu....Namkumbuka marehemu baba yangu na Ngara nilipozaliwa na kukulia big up.

mzuvendi
Автор

Mimi naweza kuitwa kijana wa leo. Lakini huu muziki unatoa mtu machozi. Utafikiri ni wa Jana. Tanzania iliwahi kuwa na vipaji jamani.

mtaninjegere