Tid na Jmo wafunika Dar Live

preview_player
Показать описание
Usiku wa kuamkia leo Jumapili ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar kulikuwa na shoo ya heshima kwa Bongo Flava waanzilishi wa muziki huo waliowahi kutamba enzi hizo walipigiwa mizinga mitano kabla kuanza mambo.

Shoo hiyo iliyoandaliwa na kituo cha Redio na Runinga cha East Africa Television na Radio ya East Afrika kupitia kipindi chake cha Planet Bongo baada ya kupigwa mizinga hiyo umati uliofurika ukumbini hapo ulitulia dakika moja kuwakumbuka waanzilishi wa muziki huo waliotangulia mbele za haki.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hapo hujaonyesha kama ww ndio mwenye nyimbo hakuna msanii anaetumia playback

larickmtui
Автор

alie mwambia TID anajua kuvunjikaa mazzeeee amemdanganyaa... mtu mzimaaa ww achaa kunikamuaa mikono kama unafanyaa traffic🤣🤣🤣 ngoma sauti zote nzuri lkn kuchezaa budaaa hujui .... hahahaha kama mgonjwaa wa kidere 🤣🤣🤣 hahahaha

wafiq