RAIS SAMIA AMWAMBIA GSM 'SIKUBINYI NIMEKUPA NAFASI FANYA BIASHARA, WEWE NA WENZIO SIWABINYI'

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wewe Mama ni mama kweli mawazo yako siyo ya hapa ni mapana sana sasa hivi duniani hakuna ajira kubwa kama mpira hongera sana mama.. na hasa kipindi hiki ambacho tanzania hakuna ajira kwa vijana wetu. na akiwezekana mama anzisha chuo cha michezo kwasababu kama mcheza mpira analipwa hela nyingi kuliko mtu aliyehitimu chuo kikuu, kwanini tuziwe na chuo cha michezo? Mama kama mama .

ludanishirima
Автор

Mama usibinye na wamachinga pia wapatie leseni za MAGUFULI za 20elfu na ruksa kufanya biashara....

kamrudinelias
Автор

wananchi we have to be care! Hapa Kuna watu wanaenjoy mema ya nchi hii km wako peponi! Nadhani Kuna makampuni viongozi wetu watakuwa na hisa zao! So let us open our eyes and see! Tusifurahie huu upuuzi kabisa, hii serikali ipo viganjani mwa watu

tukyaclassic-xmqd
Автор

Sisi tunawaangalia2 mbn tunaelewa upande ulipo wala hatuna shida we endelea tu

ibrahimmsita
Автор

Natuna jua ma boss hawabinywi sisi masikini ndoo wana tubinya nchi hii hahahah

husseinomary-dgwx
Автор

Kumbe kuna wafanya biashara hawabinywi 😅

blandinamwarabu
Автор

Watanzania tumepigwa hatuna kiongozi bora 😢😢😢

salha
Автор

Wanajuana kwa vilemba jamani...wenyewe kwa wenyewe...

kamrudinelias
Автор

Wabongo wanapenda wenzao waumie acheni wivu mana kwa nchi zetu za Africa ni kawaida wanaosaidia jamii wanapunguzo la tozo na Kodi za gvt

abuuramadhan
Автор

Mama hua ni mkweli San hadharan mana hata hao Marais waliopita walikua wanafanya haya Ila hawasemi Tena kwa faida zao binafs

abuuramadhan
Автор

The boss of football GSM ever happened

modycadabra
Автор

Hapo kuna kitu viwili kutominywa kabisa na Kukandamizwa kabisa,

Sisi wa Kariakoo mpaka tu gome ndio tutumiwe mkuu wa mkoa, Na tukijifanya kukataa atakuja W/mkuu. Then Tume shughuli kwishney.

Grory to God®~

nuhhumwakanyamale
Автор

Wanajua watu huyo chotala yupo tu GSM yawatu hiyo

husseinomary-dgwx
Автор

ACHENI UHASIDI NA WIVU, MNAPENDA KUSHANGILIA WATU WAKIUMIZWA, NAWE KAFANYE BIASHARA, UNALAMIKA HUKU HUWEZI HATA KUUZA VITUMBUA!
MUDA WA WATU KUDHULUMIWA UMEISHA,
HONGERA RAISI WETU MPENDWA SAMIA SULUHU HASAN HAKIKA UNAUPIGA MWINGI

hamzakimaro
Автор

Yanga wamepewa Zawadi ya Ugali ikulu na kamba ya shingoni wanayoiita medali😊😊😊😊

talents
Автор

Swali aumbunyi tajiri ila mjasilia mali anabinywa maana ake nini

johanessmwijage
Автор

Kauli tata hii wafanyabiashara wengi wanalala mika yeye amepataje nafasi hiyo

alfredibrahim
Автор

Mama tafadhali naomba usinibinye na Mimi maana naumia Sana unapo nibinya

marwajoseph
Автор

RAISI HAJASEMA WASILIPE KODI, ANA MAANISHA HATANYANG'ANYA WALA KUPORA MALI ZA WATU, KWA SABABU ETI YEYE KWANINI AWE NA HIZO MALI!
ACHENI KUGEUZA MANENO!!

hamzakimaro
Автор

Hambinyi yeye na wenzake! Nini hicho, Kodi?

theodorymwalongo