Josephine Kabura, Washukiwa wengine wa sakata ya NYS I washtakiwa upya

preview_player
Показать описание
Mfanyabiashara Josephine Kabura pamoja na washukiwa wengine tisa wamefunguliwa mashtaka upya kuhusu sakata ya kwanza ya NYS. Huku Mwanasiasa Reuben Ndolo akiachiliwa kwa dhamana ya shilingi mbili baada kusomewa mashtaka ya kusababisha vurugu na kutishia kufanya mauaji
Рекомендации по теме