Wafanyikazi kaunti ya Mombasa wasusia kazi wakidai mishahara

preview_player
Показать описание
Wafanyakazi wa kaunti ya Mombasa wamesusia kazi wakidai mishahara yao ya mwezi wa Julai. Sekta ya afya ndiyo imeathirika pakubwa huku wagonjwa katika hospitali ya Coast General wakilazimika kutafuta matibabu katika hospitali za kibinafsi. Lakini kama anavyotuarifu francis mtalaki huenda kuna mwanga baada ya mkutano kati ya pande mbili husika kuandaliwa leo.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Gavana yuatanua majuu na high paying sociliates

musaamuj
Автор

Walipeni Mishahara Yao Jamani Kwani Serikali Vipi, Wavumilie Mpaka Wachukuwe Uamuzi.

mwanahalimamwachili
Автор

Sasa gavanor atembea majuu kosa lipi kwani naibu gavanor kaxi yake nn ila. Hio Ni county ya ngapi hio sahii pesa hazijachukuliwa kutika serikali kuuu so wachukue pesa magavanor wawalipe haki zao wafanyi kazi Na sector ya healthy irudishwe serikali kuu county zimeshindwa Na sector hio

abdallaathman
Автор

Serikali tafadali wafukuze wote
Walete wngine

balariaraktidada