Mimi S01Ep01 (TV Series)

preview_player
Показать описание
Tamthilia inayofuatilia hadhithi ya bitnti Naomi katika kuanza na kupigania maisha yake kwa visa vya kila aina.

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Anything to do with Elizabeth Michael, it must be fire

sophiapatrick-kydx
Автор

Hii ngoma nayo inakuj kuwa gumzo km Dunia💥

GeorgeKilumile
Автор

waoooow this is nice wakina well done my sis, I like it❤❤

arya-star
Автор

Dah....hatarii watakaofatiliaa hii seres Hadi mwishoo hataaa kwa bando la kukopaaa tujuanee hapaaa maanaaa...ep 1 TU lakinii ni

danielaugustino
Автор

Hii kitu lulu umeifanya kiuprofessional kabisa big up

noorrajpar
Автор

Two actress in the same movie ❤ Lulu and Mariamu Ismaili

zamiramatumbo
Автор

Movie IPO na high class actors na actresses watupu. Tegemeo LETU tuone kitu cha uhalisia na kipekee. Wishing you a 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍

ALIMOHD-bklr
Автор

VILE NILIWAMISS MM AK WAA FURAHA YANGU IMERUDI ❤❤❤❤ DAA SUSUZI ILOVE YOU SANA

aminakatana
Автор

Oooo luka wetu kasuka safari hii twende nalo wahusika wote nawapenda

sofiasophia
Автор

Hawamalizi hua hawa kama jeraha nilipotea haswaaa😂😂😂❤

AngelineSidi
Автор

Hapa Elizabeth umecheza kama Pele safi Sanaa imekaa pia sana❤

SiscahMakeulah
Автор

Kazi nzuri sana hongera lulu dogo langu. Uko poa❤

AnithaNahimana
Автор

Bora Iko huku mana tvE hawakuimalizaga

RamlaSaid-wh
Автор

Yani hapo kwenye ngeli mi naonaga move ni mbaya kumbe sio shida ni rugha😂😂😂😂😂😂😂😂

AgnesJoram-jb
Автор

Waoooo am happy to see Suzan wa Angel faces❤

deboraezekiel
Автор

Naomba nianze kuifuatilia vipz nipeni mwongozo inarushwa lini na lini

JudithSolanus-fmjz
Автор

Waachie basii tuwe tuna download kwa tulio na bando la manatiii

Bageni
Автор

Lulu, movie já Sofia nilikupendaga na mpakaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Sasa nakupenda bureee 🎉🎉🎉🎉

AmisseBuraimoCanamo