Dancer wa Harmonize afunguka kutoka kimapenzi na Ibraah 'Anaheshima sana, mcheshi sana'-

preview_player
Показать описание
Ashyle mrembo kutoka Konde Gang Music World Wide ambaye ni dancer wa msanii @Harmonize255 amefunguka juu ya uvumi unaosambaa juu ya yeye kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Chinga @Ibraah pia mrembo Ashyle amesimulia juu ya kufanya kazi na @VanessaMdeeTV na namna alivyo umizwa kutokana na Vee kuacha muziki.
Host: Kidde The Best
Shot by John Mwonga
Edited by John Mwonga
FOLLOW US
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

dada mrembo na anajielewa nakukubali sn

ramsodavidson
Автор

HUYU DEM WAKUITWA ASHA .. Kitambo sna kwenye G A ME since T H T ... ametembea Nchi kibao with mama AFRICA sarakas.. ✌🏾

kbmsouth
Автор

Dancer wa Harmonize ni mrembo na amekomaa kiakili, natamani awe manzi yangu juu anajielewa sana

budigabirdman
Автор

Kafanana n kajala mpk kuongoe kwake..mash Allh

binthkhamisi
Автор

Bigapu dada Baki konde genge abali ya mjini

saidimkoloweko
Автор

I really love dancing BT for now bcoz I'm old keep it up dia Asha

saumukalama
Автор

Ila kusema kweli Totoz yuko sawa she's very beautiful and intelligent

juliusjaliwa
Автор

Ibra bhana lkn msichana mzurii keep it ?

jumaseif
Автор

sasa dada, umekuja ku fanya kazi ao umalaya ? na wewe Ibra, punguza shobo si utaleta mikosi ndani ya Condégang 😏...

cestlaviecestlavie
Автор

Unanishikisha haya ukiongea kiigereza pls

olivertsumake
Автор

Ila dada una mtu maana kazi imeeleweka

saidimkoloweko
Автор

"It was shock me"🙆‍♀️😂😂😂😂😂😂watanzania na kizungu ni kama maji na moto😂😂😂

nancyokwero
Автор

Huyu ndiye demu wa Ibraah..anavyosmile jibu tosha.

sponsor
Автор

Hivi jmani huyu ni pacha wake na kajala

fatmaabdara