Malkia Karen - Washa (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
#KAREN #WASHA

Singer:Karen
ProducerMan Water
Video director: Joowzey

You can get in touch with Karen through

DONT FORGET TO SUBSCRIBE!!
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama umekuja baada ya clip ya lacky moyomashine gonga like

janembawala
Автор

Kama unamkubal Karen gonga like twende Sana na Ana anikosha hatari

keyakeya
Автор

Nimepata mwandani wangu ndagha fijo wanyakyusa wekeni like hapa

priscamwamlima
Автор

Tujuane tulionza kuusikiliza huu wimbo in 2020 na kuurudia rudia 🔥🔥🔥🔥

happiness
Автор

Alikiba kanileta hapa baada ya kuutaja wimbo wake bora anao ukubari. Na wengine waliokuja kwa kusikia kiba kautaja On Air with Millard Ayo Tujuane hapa.

erickgulayi
Автор

Beautiful and talented.... kapendezaje bila kukaa uchi...👍🏾👍🏾👍🏾🌺🌹💗 MashaAllah

nefertitibelinda
Автор

Kama unakubali Karen ni zaidi ya luludiva gonga like.

bintymwaliwanga
Автор

Nan kaja apa baada ya king kiba kusema anaupenda huu wimbo aweke like hapa kwangu

eliozil
Автор

CHONDE CHONDE CHONDE USIIHARIBU HIYO RANGI ....NA MIKOROGO....INAZEESHA MAPEMA..wimbo mzuri na wewe mwenye mzuri ..

gabrielambaruku
Автор

Tanzania lazima nizuru kabla nife, naeza enda missing kama mkenya. Huu ni utamu mtupu, ladha ya maisha ndio hii sasa.

gitongakelvin
Автор

Duh, yaani wakwetu kabisaa jirani yako hapa kwa Mzee mashiba duka la ngazi, mwanza nyegez, , , tunakukubali wamwanza nyegez wapi ma like yetu hapa

shadybadojulius
Автор

Finally, a great dark-skinned, soft-singing, fully-dressed, lovely-looking, GORGEOUS African singer comes along...PRICELESS❣️

lynnanderson
Автор

Sina cha kusema hizi ndio ngoma za kitanzania mahadhi ya pwani tanga, Zanzibar, comoro, seashell

kobajumakuziwa
Автор

Nimependa uvaaji wako siovizuli kukaa uchiii hongera sana

abednegokaroli
Автор

Sijui ni mimi tu na mawazo yangu ya kishamba!!ila hiyo dance ya kubinua matako na kukatika hua naona yanashusha hadhi ya muziki!!

daimondelfina
Автор

Longo longo tuzifungie chumbani mama mwali yuwapi aje tulisakate zile ngooo ngoooo zimepata funga semi nitoe kimasomaso zikomezao nogwaaa!!

maishamussa
Автор

Je ne comprends pas comment certaines chansons ne recueillent pas des millions de vues. Iyi mwimbo mzuri sana. Nayi penda saaana.

uwtfuu_q
Автор

Hii nyimbo nimeijua baada ya marehemu lucky mashine kufariki mungu alaze roho yake mahali pema

saumuhafidhi
Автор

hiyo tangiii tumeosave isiaribiweeee jmn careen acha like yako hap kama umekubali ngoma

ivankiwelu
Автор

Nineno ya humu, mwenyewe utasikiliza zaid ya Mara moja

tukaeabdallah