MAPYA KESI ya SABAYA, BOSI VODACOM AMCHOMA MAHAKAMANI APELEKA MAWASILIANO YAKE YOTE...

preview_player
Показать описание
MAPYA KESI ya SABAYA, BOSI VODACOM AMCHOMA MAHAKAMANI APELEKA MAWASILIANO YAKE YOTE...

Meneja wa ulinzi na mshirika katika vyombo vya ulinzi na usalama Vodacom PLC makao makuu, James Wawenje amepanda kizimbani leo kutoa ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Hai, Lengai ole Sabaya na wenzake sita.

Shahidi huyo wa sita wa Jamuhuri akitoa ushahi wake mbele ya hakimu mkazi wa Mahakama ya Arusha, Patricia Kisinda amesema idara yake ndiyo inahusika na mfumo wa kunakili kumbukumbu za kupiga na kupokea simu na kunakili ujumbe wa simu.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwa mzazi yeyote, Hii hoja ya Sabaya ni nzito sana kwa mtu mwenye vijana km Huyu Bwana mdogo,
Kuna haja ya kutafakari sana, tusiruhusu kucheka bali tujazwe hekima, Haya yanayompata Sabaya huwezi amini kuwa ni mkuu wa Wilaya kayafanya haya.
Ndio tukubaliane au kutokubaliana hili tuombe Mungu atujalie Hekima ya kutafakari haya.

loishiyesamwel
Автор

Bora mmuwe mtoto wa.watu haya alifanyiwa babu sea mungu atakutokea ipo siku jipe moyo yesu anasamehe ipo siku

rukiasalum
Автор

Ila sabaya hakuwa na huruma na watu katili Kama Nini machozi ya watu ni hukumu tosha

magrethpanga
Автор

"Ni Nani aliyemkamilifu ??, na ajitokeze kumpiga mawe huyu mtu"!!

suleimanjokoro
Автор

Jamani muineeni huruma sasa, this is too much, !!🙏🙏🙏

editrudesmbonde
Автор

Eee.mungu tusaindie kwani alipokuwa akitenda mlikuwa wapi mpaka magufuri alivyo kufa nina mashaka

rukiasalum
Автор

Wamesha panga kumfunga wamfunge tu ijulikane...nchi hii watu wazarendo ni wabaya kwa wengine

georgemassebu
Автор

Hapa ni pakujifunza kuna leo na kesho je leo yangu iko hivi je kesho yangu itakuwaje duh cheo ni dhamana.

wardaheluwa
Автор

Mama Samia muhurumie mwanao inatosha ht mema pia kuna aloyatenda kwani hakuna wakosaji zaidi yake jamani mmeamua kumpoteza huyu kijana aliekitumikia chama cha mapinduzi hakuna binadamu alie kamilika Mungu anatusamehe mangapi ila mwisho yayote kila mtu atakufa Mungu mtetee sabaya wanadamu wanania yakumpoteza ht kumuuwa kabisa kwa presha 😭😭😭😭😭

fatumasamiasuluhuog
Автор

Hivijamani huko Tanzania hakuna mwenye makosa isipokuwa ni sabayatu au watu wooòote huko arusha mmeshuhulika na sabaya huyo sabaya anamungu nae

telaamtauta
Автор

Jamani tumewachoka ebu angalieni na kesi za wizi na madawa ya kulevya, yani mtatia chevu,

nasmabanda
Автор

Hakuna lililo gumu mbele za mungu. Sabaya utatoka Ila inabidi hamrudie mungu

hurleimsultan
Автор

Siyo Chief examination, ni Examination in Chief!🙏

suleimanjokoro
Автор

Eliza festo kuna matapeli kama voda mimi nimeibiwa laki tatu na nusu wakajifanya ni kampuni hayo ya sabaya mko makini

agneswilbard
Автор

when it rains it pours, na hiyo nundu vipi au rungu

suleimankhamis
Автор

watanzania wote wanaelewa kuwa hawamashahid wote wanatowa ushahidi wa uongo kwani ndiowalio kukuliwa hatuwa na sabaya kilichokuweponi kulipizanatuu

OmarMohamed-zfdp
Автор

Angefaa anyongwe kabisa, sijui kwa nini hakuwa mchina

smoothcriminal
Автор

Jamani atakufa mtoto wamwenzenu mtamuua presha mtakuwa mmepata Nini? Hebu acheni roho mbaya kwani hakuna wengine wenye makosa mumemwona sabaya tu? Kwanza mnatesa hata familia yake jamani

lucysanga
Автор

Binaadamu hakuna aliye kamilika
Hivi saba ya hana hata jema
Mbona alikuwa anafanya kz nzuri. Yoote hamkuyaona ila mnaona mabaya yake tuuu
Kumbukeni na mema yake

Mwacjhieni awe huru akaishi na familia yaje

skjjsj
Автор

Hakuna aliye mkamilifu, mungu ni Mwema

elizabethmajaliwa