KESI YA SABAYA: MAPYA YAIBUKA, SASA IMEONGEZEWA KASI YA KUSIKILIZWA KWA WIKI NZIMA MFULULIZO..

preview_player
Показать описание
KESI YA SABAYA: MAPYA YAIBUKA, SASA IMEONGEZEWA KASI YA KUSIKILIZWA KWA WIKI NZIMA MFULULIZO..

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, imepanga kuanzia Oktoba 18 Mwaka huu ndipo itakapoanza kusikiliza kwa Wiki Nzima Mfululizo Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya na wenzake Sita.

Leo Oktoba 13, Mwaka huu, Shauri hilo lilipangwa kwa ajili ya kutajwa mbele ya Hakimu Mkazi Daktari Patricia Kisinda, ambapo Jamhuri imewakilishwa na Wakili wa Serikali Neema Mbwana, huku Watuhumiwa hao wakiwakilishwa na Wakili Fauzia Mustapha.

Katika shauri hilo la uhujumu namba 27 la Mwaka 2021, Lengai Ole sabaya na wenzake Sita wanakabiliwa na Makosa Matano likiwemo lile la kuomba Rushwa ya Shilingi Milioni Tisini huku wakidaiwa kutenda makosa hayo January 22 Mwaka huu ndani ya Jiji la Arusha.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwa nini sabaya tu.hamna kesi zingne kubwa kuliko ya hii, mungu atajalia haki itendeke.

venancesimoni
Автор

Ukute hakim nae anasubiri kupewa hukumu😂😂😂

selemanimasatu