Rayvanny - Mama (Unplugged Session Video)

preview_player
Показать описание
Multiple award-winning Tanzanian singer Rayvanny returns with a new EP titled ‘Unplugged Session’. The 8-track project sees the vocally gifted artist sing his heart out on songs such as ‘I Love You’ and ‘Mzuri’. He celebrates mothers on the song ‘Mama’ and showcases his magnificent penmanship on jams like ‘Nateseka’ and ‘Vacation’. On ‘Nipigie’, Vanny Boy ropes in new kid on the block Fari by Dar Kid.

‘Unplugged Session’ is Rayvanny’s 5th major project in recent years following the release of his debut album ‘Sound From Africa’ in 2021 and Ep’s, “Flowers I” and “New Chui”. In early 2022, he released “Flowers II”.

Speaking about the project, Rayvanny said: “Through this project, I want my fans to have an intimate experience with the music, I want my sound to speak to them.”

With his most recent signing to Ziiki Media, Rayvanny is pivoted for immense growth and success, not only locally but on a global scale.

Follow Rayvanny On:

For Bookings:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unampenda mama gonga like za vanny boy 🐆🐆🔥🔥chui respect for you

josephmollel
Автор

Nimenyanyasika, nikafukuzwa kweli mama ni mama, umenigusa Rayvanny love you bro vanny boy, hakuna PENZI zaidi ya mama yako.

muminmohamedahmed
Автор

After giving birth i came to realise importance of a mother. Mama i love you mama❤❤❤😭😭😭

MayuumiAbdi
Автор

Dah!! Chui umenitoa machozi dah! Nimewish angekuwepo mama TAESSO

taessofilms
Автор

Mama I love Mom 😍 ❤️ 😘 💕 💓 💗 😍 ❤️ 😘 💕 Hakuna Maneno Madogo Kwa Upendo Wa Mama Mungu Atusaidie Asante Mama Yetu, Mama Yangu Nakupenda Sana Bado.

Khaxari
Автор

Basi Allah amupe wepesi mamangu pahali pema peponi bado n'a mu miss maman BABJAY ISHEDEY 😭😭😭

officialbabjayishedey
Автор

I love you mammy live long to see your son's progress

mrtimoh
Автор

this song inanifanya nilie Kwa uchungu sana, maana mamangu amatulinda yeye mwenyewe mama nakupenda sana ukiwa mbali naskia nilie, ishi maisha marefu my mom lv u

elvislangat
Автор

💕💕👋👋mum wherever you are nakupenda sana mamaa wangu Mungu akupatie uzima nikulee mama🥰🥰

kenyanbuster
Автор

This is for the mums in the heaven ❤️❤️🕊️
Omg such a beautiful song 🥺

Daphney_Amisi
Автор

Nakupenda sana mama 🥰, upendo wako daima hauishi kwangu
Lots of love ❤️❤️❤️❤️❤️ kwa kina mama wote😘😘😘, u deserve the best 🤗🌹

roselaremigius
Автор

Jaman nyimbo tamu ❤❤ Congratulation Vanny Boy I love you Mama angu ❤❤😘 kwa kunileta duniani

miamia
Автор

Asante sana my mama nakupenda mungu kupe uzima ili ukule matunda ya mwanao pamoja na vitukuu

FaridahRashid-jt
Автор

Leo, kesho, hata milele nakupenda mama na kukuthanini na mungu maisha marefu kwako mama angu
I love you mum♥️

aminaswedy
Автор

HAPPY MOTHER'S DAY TO ALL MOTHER'S OUT THERE, , THOSE WHO ARE NOT WITH US MAY THEIR SAULS REST IN PEACE😭😭😭🙏🏿🙏🏿🤍🕊🕊

OkubalaMelkizedeck-jodf
Автор

Akuna kama mama...nakpenda Sana mama yangu...Ya Rabbi mlinde mama kipenzi changu

yusufimran
Автор

Wapy like za vanny boy for reminding all of us not to forget our mothers ❤❤❤❤

MercyKemmy-ib
Автор

If you love your Mum ..just a like for Rayvanny for this special song to our beloved 😍 Mum's 🙏🙏🙏

immahyulemmoja
Автор

😥 pumzka bab yangu kipnzi😍 mama ni mzima mwanao nampambania usiku na mchana kukamilisha ndoto zako bab lakin bab mwanao nimekukumbuka my dady😭 mchozi yanitoka nikikumbuka sura yako bab....daaah ...R..I.P dady

jimmyyustor
Автор

I really appreciate this from DRC 🇨🇩. Thank you rayvanny kwa kuwakumbuka mama zetu, hee mum, wema wako hauna mpaka. I'm so proud of you. My desire is to see you katika furaha na Raha Siku zote zamaisha yako. God bless you wherever you are.

piscoares
visit shbcf.ru